Ramli zenyewe hakuna kitu mbona ,alishindwa hata kutabiri ujio wa lowassa(2015)🙆♂️🙆♂️🙆♂️Wapo wanaomita "eti nabii" wakati ni mpiga ramli mkubwa huyu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ramli zenyewe hakuna kitu mbona ,alishindwa hata kutabiri ujio wa lowassa(2015)🙆♂️🙆♂️🙆♂️Wapo wanaomita "eti nabii" wakati ni mpiga ramli mkubwa huyu!
Kwaiyo kwasabab hawakuwa wakimtaka yeye basi wafukuzwe?Wakuu
Kumeanza kuchangamka huko Arusha
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema, ameagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la uchaguzi wa ndani wa chama hicho uliofanyika mkoani humo kufukuzwa uwanachama.
View attachment 3153951
Lema aliwatoa kwa sababu alikuwa ana mgombea wake wa mfukoni.Kwaiyo kwasabab hawakuwa wakimtaka yeye basi wafukuzwe?
Harafu yeye anatoa maagizo ya watu kufukuzwa uanachama ni maana chadema ni chama Cha mfukukoni hakina kamati Wala mikutano ya wanachamaLema aliwatoa kwa sababu alikuwa ana mgombea wake wa mfukoni.
Na muda wa kupiga kura ulivyofika alizima taa kama kawaida yake.
Chama cha Mbowe kimeshindikana kwenye kulazimisha Mbowe awe mwenyekiti wa milele,
Wanaweka watu wao kwa lazima zidi ya Heche kwenye kura za uenyekiti huko mbele ila wanachadema kwa wingi wao wanataka Mbowe atoke.
Kinachomlinda Mbowe ni hila tu, vinginevyo aliotoka nao mbali mpaka CDM ilipo wanataka aachie uenyekiti, ili nchi ipate upinzani wa kweli.
Huo ni ukweli wasiotaka kusikia wafuasi wa Mbowe.Harafu yeye anatoa maagizo ya watu kufukuzwa uanachama ni maana chadema ni chama Cha mfukukoni hakina kamati Wala mikutano ya wanachama
Misukule ya Mzee Mbowe ni shida aiseeNdio CDM ya Mbowe hiyo, Lema alikuwa na mgombea wake mfukoni hiyo ndio demokrasia ya CDM.
Wanachama wanalalama kuzuiwa kuingia kwenye na kupiga kura, halafu kuna watu wana imani na CDM. Mungu wangu hata sijui unawasaidaje watu kama hao.
ndio maana halisi ya SACCOSHarafu yeye anatoa maagizo ya watu kufukuzwa uanachama ni maana chadema ni chama Cha mfukukoni hakina kamati Wala mikutano ya wanachama
KabisaMisukule ya Mzee Mbowe ni shida aisee
ndio maana halisi ya SACCOSMm
Hamna makambi cdmKambi ya lissu wanatimuliwa!
Lini Mbowe kasema kwa cdm ni mali yake?Kabisa
Hakuna namna nyingine ya kuita CDM zaidi ya ‘SACCOS’
Sema kuna watu wamechoka kuburuzwa na anaetaka kujimiliiisha taasisi ya umma.
Chama cha siasa ni mali ya umma, sio ya mtu kama Mbowe anavyoamini CDM ni mali yake; wenzake washamchoka.
Unafaikiri kwanini alibadilisha katiba ili awe Mwenyekiti wa KUDUMU?Lini Mbowe kasema kwa cdm ni mali yake?