Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Haa Mkuu Kambi GaniKambi ya lissu wanatimuliwa!
Kambi ya lissu ndio yenye wahuni wa kuleta fujo!Haa Mkuu Kambi Gani
Haa HaaKambi ya lissu ndio yenye wahuni wa kuleta fujo!
Kumbe chadema kina mabondia wakali et!!😀.Wakuu
Kumeanza kuchangamka huko Arusha
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema, ameagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la uchaguzi wa ndani wa chama hicho uliofanyika mkoani humo kufukuzwa uwanachama.
View attachment 3153951
Ndio maana halisi ya SACCOSLema ana mamlaka hayo ?
Lema hajawahi kuwa na akili,alikimbiaga umande huyu.Lema wa zamani alikuwa na akili, huyu wa sasa buyu tu
Wapo wanaomita "eti nabii" wakati ni mpiga ramli mkubwa huyu!Lema hajawahi kuwa na akili,alikimbiaga umande huyu.