Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Kampe mbinu mpuuzi mwenzio kule Kisongo.
 
Mashitaka yake achomoki leo huyo MBWIGA WA MBWIGUKE.

-Uhujumu Uchumi
-Ujambazi wa kutumia silaha.
-Rushwa

Sema la Ubakaji ushahidi wake ni mgumu lakini TAKUKURU wangeenda nae sambamba labda wachukue video clip alizokuwa anataka kwenda kumbaka Nandy.

Huyu Mpuuzi ndio chanzo cha kudidimiza uchumi,kuwapora mali wafanyabiashara ni kuwaua kiuchumi na hivyo upelekea kuyumbisha mzunguko wa hela maana sabaya akipora fedha anaenda kuzificha.
 
Mimi nahisi kuna chuki binafsi kuanzia kwenye uongozi wa juu..sio bure...kwa sababu kwa namna linavyoengelewa hili swala na ushaidi uliopo haviendani kabisa...mimi sijawahi kuona clip akimnyang'anya mtu pesa au kuvamia nq kuiba
Hadi youtube zipo labda kama wewe ni mnufaika wa ukoo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…