Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Kanye mbele huko yeye sasa ni raia tu kama raia wengine wacha apigishwe goti kwani aliyowafanyia wengine alikuwa hajui kama nao ni watu na walistahili kuheshimiwa

Hata hapo wamempa tu heshima alipaswa awe anatembelea gongo na mkononi amefunga hogo.
 
Bado Bashite maana Sabaya alitamka wazi wakati anataka kumpora fedha mfanyabiashara wa hotel swai alimuuliza atumie style ipi au Makonda style?
Inabidi walinzi wa mipakani wawe macho maana anaweza kutoroka huyu mtu kwani jela inamuita
 
Umeeleweka mataga
 
Mojawapo ya makosa ya Sabaya ni uhalifu dhidi ya binadamu. Usizidogishe tuhuma zake.
 
Tangu lini umeanza kuthamini utawala wa sheria?
 
Hivi haya yanayofanyika kwa Sabaya ni mapya yanayotakiwa kuja kulipiziwa au ni malipizi kwa aliyoyafanya yeye kabla?
Hakuna kitu Sabaya alifanya cha kustahili kutendewa haya..time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…