King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kumbe huyu ni mshemzi mzoefu!
Ni zaidi ya jambazi huyo mshenzi sabaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huyu ni mshemzi mzoefu!
Kanye mbele huko yeye sasa ni raia tu kama raia wengine wacha apigishwe goti kwani aliyowafanyia wengine alikuwa hajui kama nao ni watu na walistahili kuheshimiwaKwa kifupi serikali aitakiwi kuwa na tabia za kusutana, kumuonyesha kiongozi kwa namna hiyo ni kama inashabikia ushambenga huku wakijua Sabaya katika nafasi yake alijitengezea maadui wengi kwa sababu mbalimbali (zingine hizo hasira za watu wana haki nazo).
Kitendo cha kumshitaki ni salamu tosha kwa wengine kuna kesho, ila kudhalilishana ni unnecessary.
Asilimia kubwa ya post za humu ni moja sababu mahususi kwanini mtuhumiwa apewe walau heshima au kama atakutwa katika hali ya udhaifu iwe kwa bahati mbaya.
Lakini kitendo cha serikali yenyewe kutengeneza mazingira ya kudhalilisha mahabusu ambae alikuwa kiongozi na katika muda wake wa uongozi ametengeneza maadui wa kisiasa ni unethical to say the least.
Anyway huo ndio mtazamo wangu ata angekuwa ameshitakiwa Mbowe, ningetaka apewe heshima yake sio kumuweka kwenye mazingira ambayo baadhi ya wana CCM watumie picha kumdhalilisha.
Baada ya kusema hayo simlazimishi mtu kukubaliana na mtazamo wangu, maana kuna mijitu imeshaanza kunitukana khaa, kwani watu atuwezi pishana mitazamo bila ya matusi. Mijitu mengine sijui ikoje.
Pingu+mahabusu+.............nk.Leo Sabaya yuko ndani ya pingu.
jamaa anatamani JPM afufuke hata sahizi
Inabidi walinzi wa mipakani wawe macho maana anaweza kutoroka huyu mtu kwani jela inamuitaBado Bashite maana Sabaya alitamka wazi wakati anataka kumpora fedha mfanyabiashara wa hotel swai alimuuliza atumie style ipi au Makonda style?
Mpumbavu mkubwa wewe ushaingiza ukabila wako Kama kawaida yakoUmeneenavyemaa unaambiwa uwezi toa uhukumu bila kudhibitisha na mzibotishaji ni mahakama tu hili la sabaya naona pich fln za ukabila ..
Polisi wa awamu ya 6NI polisi gani aliyemvalisha sabaya pingu
Amelewa wanzuki huyo matagaHuyo rubbish Sabaya ni mzalendo???
Duh! Ila hii ndio njia nzuri ya kujenga vijana jeuri. Vijana waoga ndio hutii kila amri lakini sasa vijana watajifunza kuwa kuna matokeo kwenye kila anachofanya. Vijana wote, bila kujali vyama lazima uwe na mipaka badala ya kufikiri yupo mtu atakulinda daima.
Kuna watu unaweza kukuta huko makazini kwao nao pia wanapiga hela ambazo sio za halali au hata kudhulumu watu ila na wao wapo kwenye hii thd wakishangilia mwenzao kupatikana na misuko suko!
Kila mtu ajitizame,je yeye ni msafi? Kabla ya kumnyooshea mwenzako kidole hakikisha kwanza wewe vidole vyako ni visafi.
Kila mtu atavuna anacho panda,kama sio hapa Duniani basi ni mbinguni siku ya hukumu.
Hii Kuchuchumaa pia ipo kwenye sheria ?
Sio kwamba namtetea jamaa ila two wrongs does not make a right...., Huyu Jamaa adhibitiwe na kuhukumiwa kisheria na ikibainika sio tu kwamba achuchumae hata kama sheria inasema apigwe bakora na apigwe..., ila kabla ya hapo nadhani hii ni wrong precedent
Hawa vijana walioibuka awamu ya mwendazake hawajui hata historia ya hii nchi. Ni hopeless kabisaHapana.
Enzi za Nyerere mtumishi wa umma hakutakiwa hata kutuhumiwa!
Kwa hapo walipofikia tuwapongeze mkuu, miezi 6 iliyopita ilikuwa ni ndoto kuwaza jambo kama hili
Halafu baadae atabinukaSIKU zote nasema maisha hayana formulaaa
Dc leo kachuchumalishwa
Ova
Hakuna kitu Sabaya alifanya cha kustahili kutendewa haya..time will tell.Hivi haya yanayofanyika kwa Sabaya ni mapya yanayotakiwa kuja kulipiziwa au ni malipizi kwa aliyoyafanya yeye kabla?