Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Utter Non Sense!!!
 
Hivi nyinyi watu mboana mnahukumu msiyo yajua nyuma yapazi@ natamani hata nituk@ne kwa wote mn@oshangilia maku ....m@ nyie k@bis@
 
Ebu tujadili mambo ya.maendeleo Sabaye tuiachie serikali na mahakama.Ebu waza wazo la maendeleo basi usiwe kama ulivyo mwakani
Yawezekana huyo ni mkewe... ameshasahau kuwa wako walioteswa na huyo mumewe na sasa anapata malipo ya matendo yake... si huyo tu na wengine waliotumia ofisi kwa manufaa yao moto uko njiani kuwawakia...
 
Hao wanaomsubiri mwanaume mwenzao wafanye nae hivyo kwani ni mashoga ?
 
Katiba bora ni jambo la msingi sana.
Kama tukiendelea kukalia katiba iliyopo ya kusubiri matakwa ya mtu mmoja kuna siku nchi hii itapata kiongozi wa ajabu sana na stawateua watu kama akina Sabaya wawe maDC wilaya zote. Nchi itakua imeingia kwenye udikiteta rasmi.

Huwezi kuamini kama kijana kama yule anaweza kufanya mambo ya kifedhuli kama aliyoyafanya eti ni kuufuta upinzani nchini. Sijui alikua anayafanya Yale kwa faida ya nano. !!
Sijui PCCB , Tume ya utawala Bora ,serikali na Watanzania kwa ujumla walikua wapi mpaka mtu mmoja afanye uhalifu wote ule akiwa mtumishi wa umma. Bila shaka vyote hivyo havina nguvu mbele ya Mtu mmoja anayefanya uteuzi
 
Ona ili chizi la dikteta magufuli nalo!!!
 
Propaganda tupu
 
N
Nafikiri hata akiachiwa, atakuwa ni fundisho zuri kwa viongozi,kuwa cheo ni dhamana na tenda haki na kufuata sheria,utawala bora siku zote....
 
Umenena vyema.
Ila jiulize mbona watu wengi sana wamefurahishwa na kitendo Cha huyu jamaa kupumzishwa Kisongo?
Mbona watu wengi sana walifurahi sana huyu bwege alivyotumbuliwa?
Let's wait for justice to prevail but I am with the multitude.
Kitendo tu Cha kuvuliwa nguo pale Kisongo kwa usongo na kusachiwa mwilii mzima kimewafurahisha wengi japo kimempa usongo Sabaya.
 
Ben Sanane ndio nani?

mnauana wenyewe mnataka wawajibike wengine?

sasa mnaanza kusema hamkushinda uchaguzi kwa sababu hamukua na wagombea sahihi...

sasa mlichokua mnalalamika ni nini?

Sent from my COL-L29 using JamiiForums mobile app
Sisi tunataka waliomuua hata kama aliyefanya hicho kitendo ni wazazi wake bado wanatakiwa mbele ya mahakama
 
Atrocities alizozifanya makonda hazipishani na za Sabaya
Kiongozi wa serikali kutembea na gang la watu ambao sio polisi, sio mgambo na wala sio watu wa serikalini na kuwa na silaha huo sio ugaidi huo makonda nae ni miongoni mwa watu kama sabaya aitwe aulizwe ana tuhuma za kumtia hatiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…