Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Kama ni yeye, ina maana huyu alikuwa zaidi ya mamlaka iliyomteua kwa sababu alikuwa juu ya katiba. Namlinganisha na Kim (Kiduku) na hana tofauti kabisa kama ni yeye kwenye hii video.

Unajua maumivu aliyo mwachia huyo jamaa ni makali sana. Mtu mzima kuchapwa nanma hiyo ni kumdhalilisha na pia inaweza pelekea mtu akajiua.
 
Haya yote kisa chini ya Sabaya Mbowe amekwana kurudi bungeni. BTW kesi iko mahakamai- mbona kama mnaingilia uhuru wa mahakama?
 
Jamaa anachomoka hapa hakuna ushahidi kwamba mtu alikuwa akipigwa hatujui aliyigwa ni mtu,ng'ombe au mbuzi au ubao.....

subirini wakati wa hearing mtashangazwa
Wewe na akili zako timamu unaweza ukawa unapiga ubao au mbuzi ndani ya duka huku unamfokea?
Mnaupiga ubao huku mnaufokea?
Hachomoki
 
Huyo Sabaya clip yake akimpa kipigo mfanyabiasha wa Arusha inasikitisha sana wanaomtetea Jambazi SABAYA naona nao hawana akili ,sabaya angekuwa kwa kiduku north korea angefumuliwa ubongo uwanjani.
 
Huyu jamaa alilewa madaraka

Huko siyo kujiongeza ni kupitilizaaaa

Ova
 
Asante sana Mwenyezi MUNGU kwa kulifyekelea mbali li Meko.
 
Babu Kijana..makosa ya huyo bhana Sabaya ameyafanya nje ya Wilaya yake kikazi..ndio maana ameshitakiwa nje ya Mkoa wa Kilimanjaro. Ila ukuu wake wa Wilaya hakutakiwa uvuke Hai. Makosa ya mashitaka ni uhalifi alioufanya ama kuwafanyia wakazi wa Arusha tuu. Labda Hai watakuwa na mashitaka yao baadae
 
Unajua sheria we bwege? Inatakiwa mahabusu asikae rumande zaidi ya wiki mbili.
Usiniite Bwege elimu yangu ya sjeria huijui.
Kama Mahabusu hatakiwi kukaa zaidi ya wiki 2 sasa kuahirisha kesi kwa wili 2 wamekosea wapi Kisheria?
Acha ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…