Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Hata ibilisi hakosi wafuasi ,sasa vibarua wa Sabaya mmekosa dili mnatapatapa kweli , vipi ukimfuata jela ukaungane naye ? Utakuwa umemuenzi sana kuliko kupiga kelele humu.
Hauna haja ya kuwakatisha tamaa walio ona mema ya sabaya

Kama hukuona mema, endelea kuongeza shutuma zitakazompeleka jela.
 
mimi sipendezwi na vitendo alivyofanya kama ni kweli lakini natamani ashinde katika kesi hii kwakuwa ni kama kesi yake ipo kimihemko zaidi kiasi inaweza kutengeneza mwanya wa jamaa kushinda.

wacha wamtete tuone taaluma za mawakili wanavyoshindana kutafsiri sheria wacha tuingie darasani bila ada na tuache kuburuzwa kila siku na wanasiasa.
 
Ongezeni ushahidi wa kumuweka Sabaya hatiani, msitishe watu wanaotaka kumtetea

Kitakachomuokoa Sabaya ni nyinyi kukosa ushahidi mahakamani, msichelelewe.
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya...
Kwani kuna aliyekuzuia kufanya hivyo,pia mahakama pekee ndio ya kuthibitisha tuhuma zake,hivyo kuwa mpole ndugu mbivu na mbichi zitakuwa hadharani pindi shauri likiamuliwa.Hivyo kelele za kulalama hazina masada kwa sasa.
 
Sasa kwanini mlikubali kutumiwa na Sabaya kutesa watu na kufanya ujambazi wa kutumia silaha za moto?
Kama ushahidi upo, peleka mahakamani,

Unachokifanya hapa ni kujaribu kutisha watu

Mahakama ikimkuta na hatia, hata mimi hutoniona namtetea.
 
Mwenye Majina ya Mawakili wote 'wanaomtetea' Ole Sabaya naomba aniwekee hapa tafadhali kwani Kesho naenda Kumtembelea 'Mtaalam' wangu wa ' Kipemba ' ili ikiwezekana wawe Vipofu au Wehu na ikiwezekana wawe Mashoga au sehemu zao za Siri Kupotea na Haja zao Ndogo na Kubwa watakuwa wanazitolea Midomoni na Masikioni mwao daima.

Na huyu 'Mtaalam' huwa hatanii kabisa.
Yule Kamanda aliyemwambia mwenyekiti kuwa hawezi kushinda hata iweje, tunaomba aunganishwe kwenye hii kesi
 
Kama ushahidi upo, peleka mahakamani,

Unachokifanya hapa ni kujaribu kutisha watu

Mahakama ikimkuta na hatia, hata mimi hutoniona namtetea.
Sasa wewe unamtetea hapa badala ya kwenda mahakamani? Kwani sisi hapa JF ndio tumemrusha kichura na mapingu juu?
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
 
Sasa wewe unamtetea hapa badala ya kwenda mahakamani? Kwani sisi hapa JF ndio tumemrusha kichura na mapingu juu?
Mzee utaumiza tu kichwa chako kubishana na hii misukule isiyo jitambua. Mtuhumiwa amefikishwa mahakamani kwa makosa ya jinai, na yasiyo na dhamana baada ya kupitisha wao wenyewe sheria kali ya uhujumu, kutakatisha fedha na kuendesha genge/magenge ya uhalifu!

Halafu eti wanakuja kutubania pua humu "free sabaya" Kama wanampenda kweli, si waende wakamsaidie kunyea ndoo huko gerezani aliko hifadhiwa!!
 
Ni haki yako kuwepo huko Arusha ili uwe unampikia na kumpelekea chakula huyo mume wako. Maana kwa ule umayai wake, hataweza kula ugali jela!

Ungekuwa na uwezo wa kukaa kifuani kwa mwanamke, usingepata huu muda wa kumlilia mwanaume mwenzako.
Wanaume tulio kamilika hatuna ujinga kama huu wa kwako.
Mwambie huyu Jambazi la kutumia silaha. Anakuja kulilia lia hapa, oooh! Sabaya. Anataka sisi tumsaidie toilet paper? Alipaswa kuinunua kabla hajaenda haja.
 
Ni haki yako kuwepo huko Arusha ili uwe unampikia na kumpelekea chakula huyo mume wako. Maana kwa ule umayai wake, hataweza kula ugali jela!

Ungekuwa na uwezo wa kukaa kifuani kwa mwanamke, usingepata huu muda wa kumlilia mwanaume mwenzako.
Wanaume tulio kamilika hatuna ujinga kama huu wa kwako.
Oh hivi ushapona kwanza?

Hua sijadili na wehu mimi.
 
Mwambie huyu Jambazi la kutumia silaha. Anakuja kulilia lia hapa, oooh! Sabaya. Anataka sisi tumsaidie toilet paper? Alipaswa kuinunua kabla hajaenda haja.
It's Sabaya vs Wezi,

Sabaya atatetewa hadi pale mtakapokua na ushahidi wa kumuweka hatiani.
 
Tulia we nyumbu, Sabaya anatetewa kama nyinyi wezi mnavyoteteana.
Wewe endelea na maandalizi ya kumhudumia Sabaya. Sisi hela yote hata ya kumnunulia toilet paper tu alikuja kutuibia na kile kikosi cha uhalifu ambacho wewe ulikuwa mmojawapo.
 
Wewe ndio mmiliki wa Jf?
unataka mmiliki wa JF akusaidie nini?
Wewe ndio mmiliki wa Jf?
Unataka mmiliki wa JF akusaidie nini?

1623067124610.png
 
Kumbe ndio kilichokuleta Arusha! Huoni hata aibu kujisema hadharani ulichofuata Arusha!
Teh teh nyumbu bhana, em tulieni

Mahakama ikithibitisha pasipo shaka makosa ya sabaya, hutoniona hapa

Lakini genge la wezi kama nyinyi, hamuwezi kuniondoa hapa.
 
Back
Top Bottom