The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upimbi wewe.Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Acha hasira we mburura, let justice be seen.Acha upimbi wewe.
Hee, I see! Kumbe Chadema kwa sasa wana nguvu kubwa kiasi hiki ya kumsweka ndani Sabaya! Basi hii ni habari njema. Basi wengine wajiandae wakiwemo waliompiga risasi TALHatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Pole ndugu kwa kazi kubwa ya kuandika uharo. Wasalimie wa kwenu!Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
kapimwe wingi wa mazalia ya kumbi kumbi kichwaniHatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Alikuwa rafiki wa Karibu wa MwendazakeWahuni wa mtandaoni leo wamefikia hatua ya kuamua nani mtuhumiwa nani anatakiwa kwenda jela nani anatakiwa kuteuliwa nani anafaa nafasi gani
Wakati hayo mambo yanayofanywa na huyo Mkasikazini mwenzao mamlaka zilizomtuma si zilikuwepo? Hata Rais wa sasa si alikuwepo tena ni Mshauri mkuu wa mamlaka ya uteuzi? Je alichukua hatua gani kuzuia? Kwa maana hyo JPM asingekufa huyu muhuni angeendelea kubaka ,kutesa,kudhulumu watu na yeye akiwepo?
Acha wamlie pesaMwenye Majina ya Mawakili wote 'wanaomtetea' Ole Sabaya naomba aniwekee hapa tafadhali kwani Kesho naenda Kumtembelea 'Mtaalam' wangu wa ' Kipemba ' ili ikiwezekana wawe Vipofu au Wehu na ikiwezekana wawe Mashoga au sehemu zao za Siri Kupotea na Haja zao Ndogo na Kubwa watakuwa wanazitolea Midomoni na Masikioni mwao daima.
Na huyu 'Mtaalam' huwa hatanii kabisa.
hawa ndio wale waliokuwa wakitumwa kuvamia watu na maduka kupora fedha na bidhaa zingineHata ibilisi hakosi wafuasi ,sasa vibarua wa Sabaya mmekosa dili mnatapatapa kweli , vipi ukimfuata jela ukaungane naye ? Utakuwa umemuenzi sana kuliko kupiga kelele humu.