Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Kimba sana wewe
 
Makonda mlisema akitoka tu ofisini labda aishi angani. Huyo hapo tena hata aliekuwa ana mkingia kifua hayupo!

Sabaya atatoka na mtaishia kumwangalia tu
Amini nakwambia wanaishi kwa mashaka sana hao watu hawana raha kama zamani na usifikiri kwamba shuruba hizo zitakuja ghafla bin vuuu...time yao itakuja mdogo mdogo
 
Chuki na visasi vinatengenezwa sasa hivi... ikija awamu nyingine yenye mlengo wa kushoto italipiza kisasi cha haya yanayofanyika kwa Sabaya. muangusha nchi uwa ni mwananchi.
Alianza jiwe kuweka visasi msijisahaulishe huu ndio wakati mliosema watu watakimbia mjini.

Alikuja kutoka maporini akatutisha sana ati tutakimbia mji, matokeo yake katuachia mji sasa kila mmoja ajiandae na tushajifunza nchi hapewi Tena mchunga ng'ombe.

Bakini hukohuko mnakuja mnaanza kuchukua matajiri. Bakini vichakani
 
Hehe..nyie masho.ga enh? wauza ngada..vyeti feke na wahujumu uchumi sio?
Wewe ita majina yote tumekuja mjini kusaka hela sio kuchunga mbuzi. Rudini vichakani mkalime maana mnatafuta sympathy za kijinga.

Mjini ni survival of the fittest sio mnakuja kulialia ndio maana miaka yote mitano hukusikia watu wakilalamika tulikuwa tunajua mmepanda baiskeli ya udongo.

Sponsor hufariki pia.
 
Chuki na visasi vinatengenezwa sasa hivi... ikija awamu nyingine yenye mlengo wa kushoto italipiza kisasi cha haya yanayofanyika kwa Sabaya. muangusha nchi uwa ni mwananchi.
Tubu"
Usimtetee mtu ambaye aliumiza wananchi. Na amepelekwa mbele ya vyombo vya sheria ili apate haki yake.
Unahisi anasingiziwa?
Kwanini asingiziwe?
Ccm amsingizie ccm mwenzie kiasi hiki?
Genge lisikupofushe macho.
Tubu"
 
Wewe ita majina yote tumekuja mjini kusaka hela sio kuchunga mbizi. Rudini vichakani mkalime maana mnatafuta sympathy za kijinga. Mjini ni survival of the fittest sio mnakuja kulialia ndio maana miaka yote mitano hukusikia watu wakilalamika tulikuwa tunajua mmeoanda baiskeli ya udongo.

Sponsor hufariki pia.
Time will tell sho.ga wewe.
 
Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema aliyekuwa DC wa Hai mh Ole sabaya amevunja rekodi ya uongozi wa Umma kwa kutuhumiwa kufanya ujambazi wa kutumia silaha akiwa ofisini kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya.

Hii haijawahi kutokea tokea nchi ipate uhuru 1961.

Nchini China kosa kama hili adhabu yake imeandikwa ukutani ukishatiwa hatiani kila mwananchi anaijua, amemalizia Mgaya.

Ee Msamehe huyu kijana hakujua alilokuwa anatenda.

Jumaa kareem!
Hajaona nawa makonda au hana ti vii
 
Nimejifunza kwamba serikali bado inamuonea huruma huyu MHALIFU. Kwa matendo yote aliofanya ameishia kupewa 6 COUNTS (Mashtaka 6).

Nlitegemea si chini ya 32 Counts (Mashtaka 32) angepewa. Nlitegemea haya makosa yasingekosekana;

1) Misuse Of Public Office.

2) Assault (Causing Bodily Harm).

3) Robbery (House Breaking + Armed Robbery).

4) Rape.

5) Rape Against The Order Of Nature.

Na mengine mengi ambayo naona uvivu kuyaandika.

● Wangem tight vizuri huyu Ole Sabaaya hata kwenye MURDER angeweza kuhusika kwa wale watu waliokua wanaokotwa na kupotea.
We naee
 
Habari.

Ole Sabaya kwenye vyombo vya habari na mtaani ndio anafunga week na wakati huo huo atafungua week.

Tuzungumze pamoja na yote yaliyotokea juu ya kijana huyu mdogo Ole Sabaya?

Vijana punguzeni hulka ya kupenda kuonekana sana hichi ndicho kilichomkuta kijana huyu mwenzenu.

"Greed for power na umaarufu" haya sasa ndicho alichokipata na atazunguzwa kweli kweli si alitafuta zungumzwa kwenye kika media.

Vijana jifunzeni kwa hichi kidogo msisherekee bila kujifinza kwa huyu kijana. Katika dunia wapo watu wamefanya mambo ya ajabu na deal mbaya mbaya ila ukimya wao umefanya wafiche yote hayo.


Ukiwa mropokaji basi dunia nayo inakuropokea.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
Nmejifunza 2015 watanzania walifanya kosa kubwa sana kumukabidhi nduli Amin Dada nchi, hayo ni matunda ya yule jamaa
 
Kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu amina
Leo nimepata furaha kubwa sana maishani
Mama nasema asante
Viva samia Hassan
Dah...wakati unapata furaha huku....Kule bandari wamepiga tayari Yale makontena ya makinikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Back
Top Bottom