Arusha: Mahakama yapanga Hukumu kesi ya Ole Sabaya, wenzake Mei 31, 2022

Idugunde, ni wakati muafaka huu wa kusali na kufunga ili Jenerali Sabaya aweze kuepukana na adhabu ya kifungo ndani ya kifungo.
 
Serkali badala ihangaike na mfumuko wa bei ipo busy na watumishi wake

USSR
Hiyo ndio kazi ya serikali kupitia vyombo vyake vya sheria, ulitaka Mahakimu wakashughulikie mfumuko wa bei na kazi zao afanye nani?
 
Soma tena comment yako leo hii..
 
Namuona Sabaya akila tena 30yrs tena.Ukijumlisha na ile 30 ya awali inakuwa 60 yrs.Najua atakaa chuoni miaka 30 kwa vile elimu huko chuoni kwao inatolewa kwa pamoja. Mungu ibariki TZ.
🤪🤪🤪
 
Kwani Mbowe alihukumiwa kufungwa? Sabaya wenu machalii wamemla sana huko jela na bado kesi nyingine hukumu imeiva.
Kama unajua watu wanaliwa huko basi inawezekana na wewe uliishawahi kwenda huko na wakakukula au vipi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…