Hatutaacha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mo29
D9
J12
A26
Kila siku siku yenye tukio kubwa la kitaifa tunaandamana hadi Samia ajiuzulu
Wao wamepata hasara ya pesa watapata hela nyingine, kuna watu wamepoteza rohoArusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya watalii.
Hali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.
Makampuni mengi na hoteli nyingi za kitalii wameshindwa wafanye Nini juu ya sakata hili kutokana na idadi kubwa ya watalii kusitisha safari zao za kuja nchini
Tunaiomnea Nchi Yetu AmaniArusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya watalii.
Hali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.
Makampuni mengi na hoteli nyingi za kitalii wameshindwa wafanye Nini juu ya sakata hili kutokana na idadi kubwa ya watalii kusitisha safari zao za kuja nchini
Halloo Perar!Waende wakaangalie ile move yake sa100
Kuna watu watakuja kubishana na ukweli.Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya watalii.
Hali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.
Makampuni mengi na hoteli nyingi za kitalii wameshindwa wafanye Nini juu ya sakata hili kutokana na idadi kubwa ya watalii kusitisha safari zao za kuja nchini
Are you trying to drag us into a toilet pit?