TBC 1 watakubishia maana kila siku kazi yao ni kuwahoji watalii wamekita kambi huko mbugani na camera zao kazi kuwahoji watalii.. watalii wenyewe basi wachacheeHali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.
Vijana wa arusha wataanza kutoa milio sio mudaa na bado tokeni kila siku😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mo29
D9
J12
A26
Kila siku siku yenye tukio kubwa la kitaifa tunaandamana hadi Samia ajiuzulu
Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya watalii.
Hali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.
Makampuni mengi na hoteli nyingi za kitalii wameshindwa wafanye Nini juu ya sakata hili kutokana na idadi kubwa ya watalii kusitisha safari zao za kuja nchini
77😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mo29
D9
J12
A26
Kila siku siku yenye tukio kubwa la kitaifa tunaandamana hadi Samia ajiuzulu
Tuendelee tu kusogeza kete watalii wasije ,Larry Madowo anakabia juu sana ,anapiga kichwani na sisi tuendelee kupiga kwenye magoti na visigino mpaka waombe poo tukae mezani.Watarudi nchi itakapokuwa shwari. Ila kwa sasa, waende tu.
Taarifa za uongo, tushapost apa mtiririko wote wa watalii na reservation zilizofanyika mpaka mwisho januaryArusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya watalii.
Hali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.
Makampuni mengi na hoteli nyingi za kitalii wameshindwa wafanye Nini juu ya sakata hili kutokana na idadi kubwa ya watalii kusitisha safari zao za kuja nchini
Utalii unaendelea kama kawaida, infact tulishaweka post ikionyesha reservation zote, bila kusahau wametoka kupokea tuzo janaWahuni walijua wanakomoa Gen Z ,ona sasa uchumi unapiga mweleka ,mambo yanavyoenda tutaikaribia zimbabwe,wazungu wanatunyima fedha na pia vyanzo vya mapato yano kwishney....Haiishi mpaka iishe..
Viongozi wasikaze mafuvu, kukiwa hakuna utulivu hata wao hawakai kwa amani....Samia amenunua mirange 6 doors lakini hayatumii.
wewe na nani?Tunaiomnea Nchi Yetu Amani
itakuwa!Mh kombo kasema hatufi njaa, sasa sijui alikuwa anaiambia familia yake?
TBC 1 watakubishia maana kila siku kazi yao ni kuwahoji watalii wamekita kambi huko mbugani na camera zao kazi kuwahoji watalii.. watalii wenyewe basi wachachee
Endelea kujidanganya tu ,wewe upo Lumumba unabwabwaja ,walio field wanaona hakuna watalii kabisa hata msimu huu ambao ni High Season.Utalii unaendelea kama kawaida, infact tulishaweka post ikionyesha reservation zote, bila kusahau wametoka kupokea tuzo jana
![]()
Tanzanian named winner of African conservation award
Ms Njaidi was honoured for her transformative leadership in community-based forest management, her advocacy for land rights and gender equality, and her pioneering work in promoting...www.thecitizen.co.tz