Arusha: Makampuni ya utalii pamoja na hoteli za kitalii wapata hasara baada ya watalii kuondoka

Hao inatakiwa wasije kabisa mpaka siku tutapokuwa na serikali safi inayojali usalama wa watu.

Sasa hivi tuko chini ya serikali ya kihuni isiyojali wala kuthamini uhai wa binadamu yoyote yule ambaye sio sehemu ya watawala.
 
Hali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.
TBC 1 watakubishia maana kila siku kazi yao ni kuwahoji watalii wamekita kambi huko mbugani na camera zao kazi kuwahoji watalii.. watalii wenyewe basi wachachee
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Mo29
D9
J12
A26

Kila siku siku yenye tukio kubwa la kitaifa tunaandamana hadi Samia ajiuzulu
Vijana wa arusha wataanza kutoa milio sio mudaa na bado tokeni kila siku
 

Wahuni walijua wanakomoa Gen Z ,ona sasa uchumi unapiga mweleka ,mambo yanavyoenda tutaikaribia zimbabwe,wazungu wanatunyima fedha na pia vyanzo vya mapato yano kwishney....Haiishi mpaka iishe..

Viongozi wasikaze mafuvu, kukiwa hakuna utulivu hata wao hawakai kwa amani....Samia amenunua mirange 6 doors lakini hayatumii.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Mo29
D9
J12
A26

Kila siku siku yenye tukio kubwa la kitaifa tunaandamana hadi Samia ajiuzulu
77
88
MO14

Inajirudia tena kwa miaka yote mitano ,tunahakikisha hakai akala ugali ukashuka vizuri.
 
Rais wa Gen Z kasema ana paralaiz serikali yote.
 
Taarifa za uongo, tushapost apa mtiririko wote wa watalii na reservation zilizofanyika mpaka mwisho january
 
Utalii unaendelea kama kawaida, infact tulishaweka post ikionyesha reservation zote, bila kusahau wametoka kupokea tuzo jana
 
TBC 1 watakubishia maana kila siku kazi yao ni kuwahoji watalii wamekita kambi huko mbugani na camera zao kazi kuwahoji watalii.. watalii wenyewe basi wachachee
 
Endelea kujidanganya tu ,wewe upo Lumumba unabwabwaja ,walio field wanaona hakuna watalii kabisa hata msimu huu ambao ni High Season.

Wazanzibar wanalia hakuna watalii ,Arusha wanalia hakuna watalii ,wewe umejifungia hapo Lumumba na mikocheni unasubiri elfu saba saba kutoka kwa Abdul unasema utalii upo ,Jingalao lao kabisa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…