LGE2024 Arusha: Makonda apiga kura. Akataza kulinda kura, asema wasiingilie majukumu ya watu wengine, ni kazi ya mamlaka

LGE2024 Arusha: Makonda apiga kura. Akataza kulinda kura, asema wasiingilie majukumu ya watu wengine, ni kazi ya mamlaka

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,



Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameshiriki zoezi la upigaji kura leo Novemba 27 ,2024 mkoani Arusha ikiwa ni katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo amewataka wananchi kupiga kura na kuondoka eneo la vituo vya uchaguzi kwakuwa kazi ya kulinda kura tayari ipo kwa mawakala wa vyama vya siasa

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Makonda ameshiriki zoezi hilo katika kituo namba 1976202 (AICC HOSPITAL) Kijiji /Mtaa wa Mahakamani kata ya Sekei Jimbo la Arusha Mjini, Mkoani Arusha
 
Back
Top Bottom