Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Kweli mwisho wa dunia dini zitafutwa kwa sababu ya uchochezi wa fujo.
 
NICE COMMENT FROM YOU,NIMEIPENDA SANA...

I WILL PUT THIS ALL IN THE SHORTEST TERM KNOWN TO ME,KITU KIZURI NDIYO DAIMA HUPIGWA VITA...

LINI UKRISTO UMEKUWA IMARA KUPINGA KAMARI??LIN UKRISTO NA IMAN ZINGINE ZIMEKUWA IMARA KUPINGA RIBA,POMBE NA ZINAAA NA KADHALIKA??

UISLAM UKIINGIA UKAWEKA SHARIA LAZIMA HIVYO VITU VIPOTEE,NANI ATAKUBALI SUALA HILO??
Wewe jamaa hamnazo ukristo unahamasisha riba na sio kosa kudai riba

Amri ya sita inasema usizin alafu unasema ukristo haupingi zinaa
 
Hukumu ya kifo, ni hukumu ya juu kabisa ambapo ili itolewe, ushahidi uwe umekamilika 100%. Na kabla ya hukumu kuna jopo la wanasheria wanapitia ushahidi. Ni process ndefu saaana. Kumbuka hapa unaenda kutoa uhai wa mtu. Hao mashehe ni kweli ni magaidi. Imani potofu imewaponza
 
100% SAHIHI. KUMBUKA HAO NI VIONGOZI WA JUU WA DINI. HII ROHO NA CHUKI SIJUI WANAITOA WAPI
 
Walipohukumiwa nilikuwepo siku Ile.
Nilipita kwenye Mahakama nikaona mama mmoja pale njeanalis.
Nikauliza yule mama analia nini?
Nikaambiwa yule mama labda itakuwa mtoto wake jambazi,amehukumiwa,sasa yule mama analia.
Yule mama aikuwa anataka kwenda ndani mara moja kumwona mtoto wake kwa mara ya mwisho.
Mhudumu wa Mahakama mwanamke akawa anamwambia,ok,nitakupeleka kule, lakini ukifika kule usilie.
Hii kesi ya zamani sana. Kwa nini haikuanuliwa toka siku zile.
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Wako watu waliopoteza maisha kwneye tukio hilo. Sikumbuki ni wangapi but hilo tukio wapo
 
Back
Top Bottom