Arusha mashuhuda wasimulia dereva na konda walivyotekwa stendi mchana kweupe

Arusha mashuhuda wasimulia dereva na konda walivyotekwa stendi mchana kweupe

Hii nchi ina TISS kweli? Hawaoni risk wanayoitengeneza. Kesho atakuja mtu kukamatwa na askari halisi watapigwa mawe kama wa TRA alafu tuanze kulalamika!!

Wakitekwa chadema waliona ni maigizo ngoja sasa raia watekwe pia ili tuunganishe nguvu kupinga huu ujinga
 
Hawa wajinga walitukana watu wakachukuliwa na kukanywa kidogo hamna utekaji hapo.
 
Hawa wajinga walitukana watu wakachukuliwa na kukanywa kidogo hamna utekaji hapo.
Wewe itakuwa mmoja wao, ila hilo tukio lingetokea dar ungesikia "wanaume wa dar"
 
Back
Top Bottom