Hii nchi ina TISS kweli? Hawaoni risk wanayoitengeneza. Kesho atakuja mtu kukamatwa na askari halisi watapigwa mawe kama wa TRA alafu tuanze kulalamika!!
Wakitekwa chadema waliona ni maigizo ngoja sasa raia watekwe pia ili tuunganishe nguvu kupinga huu ujinga