Pre GE2025 Arusha mjini CCM twende na nani kwenye ubunge 2025?

Pre GE2025 Arusha mjini CCM twende na nani kwenye ubunge 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🤣🤣 afu majina? Picha?
Ukikaa nacho miezi mitatu tu unaanza kufanana na picha na majina pia😁
Kwani wewe hupendi kuitwa Mjep

Hadi ufikishe miaka 18 ndo utaandikisha kupiga kura vuta subira bado mwaka mmoja😆
 
Mimi sitatoka ushirikiano kwa Gambo Wala kwa Catherine Magige. Gambo simpi ushirikiano sababu ameumiza watu sana kufikia hapo alipo. Na Catherine simpi ushirikiano sababu hana uwezo... Anakaa bungeni mda mrefu lakini sioni hoja zozote za MAANA alizopeleka kuwasaidia vijana, wanawake na watoto....kule sio jumba la urembo.. halafu alitumiwa cheo chake kufanya fujo msibani. Tutampa yeyote hata kama ni Viola lakini sio kaserini.
Viola yupi?
 
Ukikaa nacho miezi mitatu tu unaanza kufanana na picha na majina pia😁
Kwani wewe hupendi kuitwa Mjep

Hadi ufikishe miaka 18 ndo utaandikisha kupiga kura vuta subira bado mwaka mmoja😆
😂😂😂 ukorofiiii huu

Sa mwakani mbaliii
Me nataka mwaka huu 🤭 nikonekti basi
 
2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa ubunge ni Lema. Mchakato wao wa kumpata mgombea ubunge huwa ni kiini macho tu. Tayari mgombea wao ni Lema na hata yeye kashathibitisha. Sisi CCM tunafuata sana katiba ya chama chetu kinavyotaka ndo maana hadi muda huu mgombea ubunge hajajulikana.

Mwaka 2020 kwenye kura za maoni walikwepo kina Mrisho Gambo, Philemon Mollel (Monaban) na Alberto Msando. Kwa hali ya kisiasa ilivyo hadi muda huu Gambo na Msando wako active kabisa kwenye siasa. Mbunge viti maalum Catherine Magige naye hayuko nyuma huku Meya wa Jiji Maxmillian naye akizidi kuchanja mbuga. Binafsi nitatoa ushirikiano kwa mgombea yeyote isipokuwa Gambo.
BABA YAKE SABAYA ATAWAFAA SANA
 
Ushauri wa bure kwa bwana Gambo
Afanye juu chini kata ya Muriet igawanywe,upande udiwani agombee yeye,upande agombee best yake Mbise..

Kushuka daraja sio shida hata Marehemu Sagaf ex MP Dodoma ,alikuja kugombea udiwani Kata ya Mchafukoge- Ilala,ILA ubunge ASAHAU
 
2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa ubunge ni Lema. Mchakato wao wa kumpata mgombea ubunge huwa ni kiini macho tu. Tayari mgombea wao ni Lema na hata yeye kashathibitisha. Sisi CCM tunafuata sana katiba ya chama chetu kinavyotaka ndo maana hadi muda huu mgombea ubunge hajajulikana.

Mwaka 2020 kwenye kura za maoni walikwepo kina Mrisho Gambo, Philemon Mollel (Monaban) na Alberto Msando. Kwa hali ya kisiasa ilivyo hadi muda huu Gambo na Msando wako active kabisa kwenye siasa. Mbunge viti maalum Catherine Magige naye hayuko nyuma huku Meya wa Jiji Maxmillian naye akizidi kuchanja mbuga. Binafsi nitatoa ushirikiano kwa mgombea yeyote isipokuwa Gambo.
Ili Chadema washinde hili jimbo ni lazima asimamishwa Palangyo ambae ni mzawa tofauti na yule mkimbizi toka Machame
 
2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema. Mchakato wao wa kumpata mgombea Ubunge huwa ni kiini macho tu.

Tayari mgombea wao ni Lema na hata yeye kashathibitisha. Sisi CCM tunafuata sana Katiba ya chama chetu kinavyotaka ndo maana hadi muda huu mgombea Ubunge hajajulikana.

Soma Pia: Vigogo wa CCM Mkoa waanza kusaka Ubunge Jimbo la Moshi Mjini

Mwaka 2020 kwenye kura za maoni walikwepo kina Mrisho Gambo, Philemon Mollel (Monaban) na Alberto Msando. Kwa hali ya kisiasa ilivyo hadi muda huu Gambo na Msando wako active kabisa kwenye siasa.

Mbunge viti maalum Catherine Magige naye hayuko nyuma huku Meya wa Jiji Maxmillian naye akizidi kuchanja mbuga. Binafsi nitatoa ushirikiano kwa mgombea yeyote isipokuwa Gambo.
Kwanini humtaki Gambo???
 
Back
Top Bottom