Pre GE2025 Arusha mjini CCM twende na nani kwenye ubunge 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🤣🤣 afu majina? Picha?
Ukikaa nacho miezi mitatu tu unaanza kufanana na picha na majina pia😁
Kwani wewe hupendi kuitwa Mjep

Hadi ufikishe miaka 18 ndo utaandikisha kupiga kura vuta subira bado mwaka mmoja😆
 
Viola yupi?
 
Ukikaa nacho miezi mitatu tu unaanza kufanana na picha na majina pia😁
Kwani wewe hupendi kuitwa Mjep

Hadi ufikishe miaka 18 ndo utaandikisha kupiga kura vuta subira bado mwaka mmoja😆
😂😂😂 ukorofiiii huu

Sa mwakani mbaliii
Me nataka mwaka huu 🤭 nikonekti basi
 
BABA YAKE SABAYA ATAWAFAA SANA
 
Ushauri wa bure kwa bwana Gambo
Afanye juu chini kata ya Muriet igawanywe,upande udiwani agombee yeye,upande agombee best yake Mbise..

Kushuka daraja sio shida hata Marehemu Sagaf ex MP Dodoma ,alikuja kugombea udiwani Kata ya Mchafukoge- Ilala,ILA ubunge ASAHAU
 
Ili Chadema washinde hili jimbo ni lazima asimamishwa Palangyo ambae ni mzawa tofauti na yule mkimbizi toka Machame
 
Kwanini humtaki Gambo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…