Kwa majonzi na masikitiko napenda kuwtangazia kuwa hatimae Dada Batilda atakua mbunge wetu hapa Arusha, yaani sijui nini kimetokea... Lema chali tena
Chadema sasa rasmi imetwaa jimbo la Arusha...............Hili halina ubishi.........Katangazwa rasmi......
Dah sasa naweza fanya kazi:smile-big:
Chadema sasa rasmi imetwaa jimbo la Arusha...............Hili halina ubishi.........Katangazwa rasmi......
Kwa hiyo CCM wameondoka na hili jimbo pia; utadhani ni kama utani vile! Duh! Jamani mloko karibu na Lema, vipi hali hapo Arusha na matokeo mlonayo mkononi yanajumla kiasi gani. Kama hali itakuwa hivi kwa upande wa Ubunge vipi Uraisi, hawa jamaa wanaweza kuibuka na 85%; manake inaonekana takwimu zimekuwa hadimu kuliko mkojo wa jogoo la kuku!Nimetonywa na mdau mmoja Dr Batilda ameshinda kwa kura 3005.
Wana JF,
Habari Kutoka Arusha kwa Mtu aliyeko ndani manispaaa ni kuwa kuna shinikizo kubwa kutoka IKULU na Jana EL alikwenda mjini Arusha na kulikuwa na kikao cha ndani kufanya mambo ili mama apite,
Mbaya zaidi kumbe mawakala wa mama walikubali kuwa wameshindwa nakumbe walirudia kuhesaba kura na kila zikirudiwa kuhesabiwa batilda anaachwa mbali na kura zinazidi ongezeka kwa Lema naanaye goma na kuto kukubali ni Batilda.
Sasa hatuelewi kwanini IKULU inaingilia hili na kwanini wanashinikiza hilo?
Hiyo yaweza kuwa ni dalili ya msongo/stress; inabidi ujipumzishe.ninaumwa kila mahali kichwa tumbo naogapa waht is happenning people
Nawahabarisha wana JF kuwa Arusha kazi ipo! Mtakumbuka Mkurugenzi aliyekuwepo aliondoshwa kwa sababu za uchaguzi huu wa 2010. Akaletwa aliyepo sasa na kazi yake moja ni kuhakikisha kuwa Arusha inabaki CCM anyhow.
EL yupo Manipsaa ya Arusha. Kauli yake ni heri jimbo ya Monduli lipotee kuliko Arusha. Sikieni Arrogance ya viongozi wa TZ na kitendo cha kuwadharau watanzania.
Niko usawa wa mita 200 kutoka office za manispaa ya arusha kwa mda wa masaa mawili sasa. Hali ya hapa si shwari kwani kuna tetesi kuwa lowasa amefika na kufanya kikao na mgombea wa chadema.
Kwa muda wote wafuasi wa CHADEMA ndio waliokuwa wamejaa ila sasa wafuasi wa CCM wameanza kupita hapa maeneo ya clock tower.
Anyway watu bado tunasubiri kwa hamu kujua nini kitaendelea.
Stay tuned for more information.