Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

Kwa majonzi na masikitiko napenda kuwtangazia kuwa hatimae Dada Batilda atakua mbunge wetu hapa Arusha, yaani sijui nini kimetokea... Lema chali tena

we sijui mwanaume au mwanamke usirudie kuandika ujingaujinga wako humu ndani, watu kukaa na kuweka post hapa sio kua hatuna kazi, tunafuatilia muafaka wa taifa letu.
 
we we weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, I think you are jokin, huo utakuwa ni uchakachuaji kuliko wa mafuta ya gari la muheshimiwa mkubwa
 
Jamani, mbona mtauwa watu kwa presha; Lema na timu yake hapo Arusha mara baada ya kujumlisha vituo vyote wa uchaguzi hapo jimboni kwa nini wasitwange matokeo kwenye mitandao ili NEC kama inachakachua inakuwa inajulikana kabisa kuwa yamechakachuliwa. Tatizo tunatiana presha bila ya kuwa hata na data. Yamepita masaa 24 ina maana Lema kwa kupitia wawakilishi wake vituoni hajaweza kupata jumla ya kura alizopata yeye pamoja na mgombea wake wa uraisi.
 
Nimetonywa na mdau mmoja Dr Batilda ameshinda kwa kura 3005.
 
hongera lema,batilda tafuta kitu kingine cha kufanya saini haraka mambo yaendelee sasa unakataa nini wakati watu ndio wamepiga kura,we vipi,nenda kanyonyeshe uctupotezee muda
 
Chadema sasa rasmi imetwaa jimbo la Arusha...............Hili halina ubishi.........Katangazwa rasmi......

...Kwa mujibu wa Post zako 1,342 na hadhi yako ya kuwa Senior Expert Member nilitegemea kuwa wewe You shud' Know better than ujinga huu uliotuwekea hapa bila ushahidi wowote.

Ninaamini kuwa Ujinga kama huu ulipaswa kufanywa na Junior Member mwenye Post 12 na sio Mkongwe kama wewe.

Unajishushia Heshima.

kama huna cha Kubandika, soma tu wanavyobandika wenzio. sio lazima Utundike kila Upupu unaokujia kichwani mwako bila ushahidi wowote.

Na nyinyi Members wengine punguzeni kupenda kusikia kile mnachopenda kusikia na kukimbilia kuminya Thanks hata kwa mtu ambaye ametuwekea Upupu wake humu. Mnashusha hadhi ya JF..

Ndio maana kila mtu sasa anajisikia kuweka anachotaka kuweka maana atapata tu wagonga Thanks ambao they are too Lazy to countercheck facts.

Arusha, Ilemela na Nyamagana mambo ni yale yale na hakuna jipya.
Na ushauri wangu wa bure, This is No Time For Sadistic Jokes.
 
Chadema sasa rasmi imetwaa jimbo la Arusha...............Hili halina ubishi.........Katangazwa rasmi......

Thanks Ruta for the good news. Kwa hiyo wapambe wa CCM wabane Arusha CHADEMA TUU.
 
Nimetonywa na mdau mmoja Dr Batilda ameshinda kwa kura 3005.
Kwa hiyo CCM wameondoka na hili jimbo pia; utadhani ni kama utani vile! Duh! Jamani mloko karibu na Lema, vipi hali hapo Arusha na matokeo mlonayo mkononi yanajumla kiasi gani. Kama hali itakuwa hivi kwa upande wa Ubunge vipi Uraisi, hawa jamaa wanaweza kuibuka na 85%; manake inaonekana takwimu zimekuwa hadimu kuliko mkojo wa jogoo la kuku!
 
Mimi bado nasikiliza BBC::: Na inaonyesha BADO mshindi kutangazwa! Bado Mshindi kutangazwa!
 
Wana JF,

Habari Kutoka Arusha kwa Mtu aliyeko ndani manispaaa ni kuwa kuna shinikizo kubwa kutoka IKULU na Jana EL alikwenda mjini Arusha na kulikuwa na kikao cha ndani kufanya mambo ili mama apite,

Mbaya zaidi kumbe mawakala wa mama walikubali kuwa wameshindwa nakumbe walirudia kuhesaba kura na kila zikirudiwa kuhesabiwa batilda anaachwa mbali na kura zinazidi ongezeka kwa Lema naanaye goma na kuto kukubali ni Batilda.

Sasa hatuelewi kwanini IKULU inaingilia hili na kwanini wanashinikiza hilo?

Hii sasa inatisha sana, kulikoni jamani wanataka kupoteza amani yetu?
 

Wana JF,

Habari Kutoka Arusha kwa Mtu aliyeko ndani manispaaa ni kuwa kuna shinikizo kubwa kutoka IKULU na Jana EL alikwenda mjini Arusha na kulikuwa na kikao cha ndani kufanya mambo ili mama apite,

Mbaya zaidi kumbe mawakala wa mama walikubali kuwa wameshindwa nakumbe walirudia kuhesaba kura na kila zikirudiwa kuhesabiwa batilda anaachwa mbali na kura zinazidi ongezeka kwa Lema naanaye goma na kuto kukubali ni Batilda.

Sasa hatuelewi kwanini IKULU inaingilia hili na kwanini wanashinikiza hilo?
 
Nawahabarisha wana JF kuwa Arusha kazi ipo! Mtakumbuka Mkurugenzi aliyekuwepo aliondoshwa kwa sababu za uchaguzi huu wa 2010. Akaletwa aliyepo sasa na kazi yake moja ni kuhakikisha kuwa Arusha inabaki CCM anyhow.

EL yupo Manipsaa ya Arusha. Kauli yake ni heri jimbo ya Monduli lipotee kuliko Arusha. Sikieni Arrogance ya viongozi wa TZ na kitendo cha kuwadharau watanzania.


Huu mchezo wa CCM utaleta VITA
 
Niko usawa wa mita 200 kutoka office za manispaa ya arusha kwa mda wa masaa mawili sasa. Hali ya hapa si shwari kwani kuna tetesi kuwa lowasa amefika na kufanya kikao na mgombea wa chadema.

Kwa muda wote wafuasi wa CHADEMA ndio waliokuwa wamejaa ila sasa wafuasi wa CCM wameanza kupita hapa maeneo ya clock tower.

Anyway watu bado tunasubiri kwa hamu kujua nini kitaendelea.

Stay tuned for more information.

Harufu ya Uchakachuaji!!
 
Back
Top Bottom