Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari


mkuu heshima mbelesana...hili linaweza kuwa kweli maana habari za kufanana fanana na hizi pia nimezisikia
 
Sasa tuelewe lipi, kwamba yameshatangazwa ama bado mbinu za uchakachuaji zinaendelea hapo, wana A-town niaje leo?
 

hapo @jethro kuna maslahi binafsi ya EL ndo maana akakimbilia A-town!
habari ndo hiyo
 

hapo @jethro kuna maslahi binafsi ya EL ndo maana akakimbilia A-town!
habari ndo hiyo
 
Lowasa asiingilie demokrasia ya Arusha. Arusha sio umeme wa Richmond.
 

Mzee, Mpiganaji wetu ndesamburo kaitwa kutoka Moshi, ameingia faster kwa hiyo kijana hawezi kukubaliana na ufisadi wao ndo tunasubiria hapa atangazwe, CCM watajibeba, hakuna kuchakachua wala nini majimbo yote muhimu wamepoteza, Arusha Mjini, Ubungo, Nyamagana, Musoma mjini yaani watakoma mwaka huu. Kwani ni kiasi gani cha pesa watakachompa, ambazo hatazipata bungeni miaka mitano na heshima ya ubunge juu, chezeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
CHADEMA Arusha, mnazo hesabu za kura vituo vyote? TANGAZA USHINDI!
 
Ni dakika chache zimepita tangu kutangazwa rasmi kuwa Lema ni mshindi ktk jiji hili tajiri tz.
Ingawa hofu ilitawala miongoni mwa wananchi kuwa huenda Lema akauza tena ushindi huu kama alivyofanya 2005.

Pongezi na ziwaendee wazalendo wa nchi hii wanaosimama kutetea wanyonge.

CHADEMA OYEEEeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..............................
 
mkuu heshima mbelesana...hili linaweza kuwa kweli maana habari za kufanana fanana na hizi pia nimezisikia

Ukichunguza sana na tena kwa ukaribu kwanii CCM imeshindwa:

1:Viongozi wa CCM katika wilaya hizo hawafi kuongoza chama mahali hapo
2:Migogoro ya ndani baina ya viongozi na wanachama wao
3:UVCCM kutokuwa kama chama kimoja yaani kuwa na muungano wa pamoja na kuimarisha chama kwani wao ndio wapiganaji wa wa
chama CCM.
4:Makundi ya wale walio kuwa waki support MAFISADI na wali wasio KUBALIANA NA MAFISADI
5:CCM kutokuwa wawazi na kutekeleza yale CCM walitakiwa tekeleza kwa wananchi
Katika haya CCM itayajutia na ndicho kupolomoka kwa CCM majimbo mengi
 

Inahuzunisha kwakweli
 
Wana-CCM na wakongwe wote ndani ya CCM, kwa nini hamtaki wananchi waamue wa kuwawakilisha!!! Kwani mliandikiwa na Mungu mtatawala daima na milele????

Why are you doing this? Kwa nini mnataka watu damu zao zimwagike?:doh::A S angry::nono::rip:ccm!!!
 
Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! I like it, mission accomplished. Bado same,
 
Arusha CHADEMA, Iringa Mjini CHADEMA, wera wera wera wera!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kutoka vyanzo makini: CHADEMA Wametangazwa washindi....thanks kwamba CCM wameepusha shari kwenye office nyeti za UNO!
 
Maslahi ya mafisadi yaathiri sana nchi!....kweli jamani ogopa EL kama UKOMA...
 
Vitega uchumi vyote vya Lowasa viko jijini Arusha...
Majumba ya maghorofa, Mahoteli ya hatari, yoteyako Arusha mjini...
Sasa ana wasiwasi sana na matokeo ya Arusha in case yangeenda kwa CHADEMA, ANAHOFIA KUDAIWA KODI KAMA WATU WENGINE..
OGOPENI MAFISADI WA AINA YA EL...SI BINADAMU HAWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…