Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Wana JF,
Habari Kutoka Arusha kwa Mtu aliyeko ndani manispaaa ni kuwa kuna shinikizo kubwa kutoka IKULU na Jana EL alikwenda mjini Arusha na kulikuwa na kikao cha ndani kufanya mambo ili mama apite,
Mbaya zaidi kumbe mawakala wa mama walikubali kuwa wameshindwa nakumbe walirudia kuhesaba kura na kila zikirudiwa kuhesabiwa batilda anaachwa mbali na kura zinazidi ongezeka kwa Lema naanaye goma na kuto kukubali ni Batilda.
Sasa hatuelewi kwanini IKULU inaingilia hili na kwanini wanashinikiza hilo?
mkuu heshima mbelesana...hili linaweza kuwa kweli maana habari za kufanana fanana na hizi pia nimezisikia