Nipo ENEO LA TUKIO HALI BADO NI TETE HAKUNA MATOKEO YALIYOTANGAZWA MPAKA SASA HIVI NA WAPIGA KURA WANAZIDI KUPANDA MORI
TUMWOMBE MUNGU ARUSHA ISITOKEE TAFRANI
My head is spinning
huyu Ruta cjui aliokotea wapi hizo habari.
NASISITIZA MATOKEO YA JIMBO LA ARUSHA MJINI BADO HAYAJATANGAZWA MPAKA SASA HIVI SAA 9:53,
Nipo Hapa eneo la Manispaa ya Arusha bado watu hapa ni wengi wanadai haki yao. Haijulikani Matokeo yatatangazwa saa ngapi
Stat TV yenyewe inakatika ovyo ovyo sijui nao wamechakachuliwa dah
Nipo ENEO LA TUKIO HALI BADO NI TETE HAKUNA MATOKEO YALIYOTANGAZWA MPAKA SASA HIVI NA WAPIGA KURA WANAZIDI KUPANDA MORI
TUMWOMBE MUNGU ARUSHA ISITOKEE TAFRANI
Sasa Ruta nilikupa heshima, naona unataka kuipoteza, hata wewe unaanzisha post zenye mikia tu? si ungepeleka kwa Macha akatengenezee supu then utulie? mambo gani haya
Ruta this is not true please. Ndiyo wanataka kutangaza rasmi. Na NEC walivyo bogas hawana hata update kwenye website yako...pumbavu kabisa 60Billion za uchaguzi wizi mtupu
hiki ndo ninachosema wakuu...kwa nini mtu ukurupuke tu...mkuu Ruta angalia bana heshima yako isije ikashuka!
hiki ndo ninachosema wakuu...kwa nini mtu ukurupuke tu...mkuu Ruta angalia bana heshima yako isije ikashuka!
mie nimeshamshusha sana tu.
Mpeni muda punguzeni kimuhe muhe labda nae yupo jikoni anajua kitu kinacho endelea