Uchaguzi 2020 Arusha Mjini: Lema Vs Gambo; Lema atashinda mapema mno

Siku zote alikuwa anshinda vipi? Labda tuanzie hapo kwanza!
Waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo huko nyuma walikuwa hawajapewa vitisho hadharani na Rais Kikwete kumtangaza mpinzani kuwa mshindi lakini Magufuli ametoa onyo hadharani.
 
Arusha nikiri ni ngumu sana kwa sisi CCM, ila Gambo hawezi pewa ridhaa na CCM agombee, sbb ziko wazi, niseme tu, watu wa Arusha kuwageuza akili zao wasimchague Lema inahitaji kazi ya ziada tufanye CCM.
 
Waache waropoke.. Kura tunazo sisi wao wana mdomo..
 
Kabisa yani. Sisi tupo huku field tunaona, saizi wananchi Wana simanzi alivyotenguliwa, Yani akija Kama mbunge atazoa Kura za kishindo sababu wanamlilia
Wananchi wanamlilia Gambo?...🙄🙄🙄.... alikuwa anawapa nini ambacho watakikosa mpaka walie?
 
Gambo alisha feli kitambo sana
 
wananchi ndio tutakao amua

binafsi huku arusha nilipo karibia kila mtu maemjua anamsapoti lema, ila labda wasipotuheshimu wananchi wakatudhulumu haki yetu ndio gambo atapita
 
Arusha nikiri ni ngumu sana kwa sisi CCM, ila Gambo hawezi pewa ridhaa na CCM agombee, sbb ziko wazi, niseme tu, watu wa Arusha kuwageuza akili zao wasimchague Lema inahitaji kazi ya ziada tufanye CCM.
Bora hata wewe umeongea ukweli, hao wenzako hapo juu wanajifariji tu
 
Nawazaa tuu Binam Bananga asimame Arusha mjini, Lema-Hai na Mbowe-Moshi town.
 

Uko field? Au unazungumzia ofisini?
 
Sidhani watu wa arusha kwa sasa wanafikiri km unavyofikiri wewe..Lema akigombea tena arusha, ni dhahiri 100% hana upendo na watu wa arusha..hakuna haja ya kuhangaika na mtu wa aina hii..jibu liko wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…