Gambo alitumia MaPolisisiEM Kumdhibiti Lema, kwenye siasa za jukwaani Gambo ni ndebwedo anapigwa hasubuhi!!
Atadanganywa watu watakulaa helazake, kura hapati kama Lowasa kipindi kile na yule binti aliye pozwa na ubarozi wa Kenya!!
Arusha inahitaji upinzani thabiti ili waendelee kustuliwa kuleta maendeleo!!
Wapinzani wepi??
Naona viongozi wa CCM waandamizi wanaparurana!!
Je kutakuwa na usalama kwenye chama??
Huyo Bwn anagawa fedha kama karanga, TAKUKURU anangata wapi mbona kila kitu kiko wazi??
Huyu Bwn akihonga wajumbe wa CCM je, atahonga wapiga kura woote mjini Ars??
Atadanganywa watakula fedha zake na kura atapewa Lema!!
Hiyo ndiyo Ars Bwn!!
Mtangaza matokeo ndiye mwenye maamuzi ya mwisho ya nani awe mbunge! Na yeye mwenyewe amevaa jezi ya ccm na kadi yake inaonekana dhahiri kwenye mfuko wa koti lake!! Tusubiri tuone.