Nakazia hapo " zote hasara tupu!!"Kwa ujumla bora sana Ngambo kuliko ile ingine yani! Japo zote hasara tu
Huyo DAB alikua ana msnitch JPM sema alichelewa kushituka ,ndio hata ubunge alimtosaDAB ni kundi la mwendazake. Na mzanzibari mwanamke hataki kabisa kuwa na sukuma gang ktk kipindi chake cha mwisho. Ndiyo maana ameanza kuwakazia Majaliwa na Tulia halafu atamaliza na Makonda
Sasa hivi anamkubali kwa vile anamletea waganga kutoka Gamboshi.DAB ni kundi la mwendazake. Na mzanzibari mwanamke hataki kabisa kuwa na sukuma gang ktk kipindi chake cha mwisho. Ndiyo maana ameanza kuwakazia Majaliwa na Tulia halafu atamaliza na Makonda
Makonda kuondolewa na ssh hapo sahau, na kwenye mchujo atapita. Kwenye kura atapita kwa kura za anaehesabu, si za wapiga kura.DAB ni kundi la mwendazake. Na mzanzibari mwanamke hataki kabisa kuwa na sukuma gang ktk kipindi chake cha mwisho. Ndiyo maana ameanza kuwakazia Majaliwa na Tulia halafu atamaliza na Makonda
Kweli mkuu zote takataka lakini Bora Gambo walau sio muaji km yule shetani mwingineKwa ujumla bora sana Ngambo kuliko ile ingine yani! Japo zote hasara tu