Arusha: Mmiliki wa Baa ya Kipong mikononi mwa Polisi kwa kutengeneza Pombe kali bandia

Asee Abbas Mohamed....mmoja wa wateja wa pombe kali...........acha nikadowee futari
 
Konyagi waingie ubia naye ili awaboreshee kinywaji chao, pia wafanyakazi wa Konyagi wamo humo.
 
Mmoja wa wamiliki wa eneo maarufu Arusha ,KIPONG amekamatwa kwa kosa la kukutwa na mitambo ya kutengeneza Konyagi Feki, mitambo na stika za TRA maarufu kama TAX STAMP.John Casian anashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano zaidi ambapo alikamatwa juzi usiku katika operesheni iliyofanywa na polisi kwa kushirikiana na TBL na vyombo vingine vya serikali.

MFANYABIASHARA MAARUFU NA MMILIKI WA BAR YA KIPONG ARUSHA ATIWA MBARONI AKIWA NA HAWARA WAKITENGENEZA KONYAGI FEKI,AKUTWA NA SHEHENA YA VINYWAJI FEKI ,MITAMBO NA STIKA KIBAO ZA TRA ZAKAMATWA,MKE AMRUKA FUTI MIA 'AKU'
 
Ayaaaaaaaaaaaaa,halafu hapa nilipo now nagonga nyagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…