Arusha: Mmiliki wa Baa ya Kipong mikononi mwa Polisi kwa kutengeneza Pombe kali bandia

Pole kali
 
Mteja wa Pombe Kali Jijini Arusha amesema akinywa Pombe Kali sikuhizi kichwa huwa kinamuuma
 
Hata Hennessy na Moet zitakuwa zinachakachuliwa. Kuna siku nikiwa night club x Arusha nilikunywa Hennessy ambayo sikuielewa 😡
 
Tatizo la dili haramu linalipa ila ngumu kuacha. Laiti angeridhika na alichokwisha pata aendelee na dili halali yasingemkuta
 
FIGO ZA RAIA WA CHUGA ZIPO SALAMA KWELI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…