Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Wenyewe walikusanyana uwanja wa taifa kuchangishana waanzishe TV Imaan...nadhani radio Imaan haijawapumbaza vya kutosha wanataka dozi kubwa ya TV...Mchawi wao ni wao wenyewe wala wasimlalamikie mtu...!nalipongeza sana kanisa KATOLIKI kwa kuongeza shule, WAISLAMU wezangu igeni mfano wa wakatoliki
Poleni sana watumwa wa waarabu, wenzenu tunapambana na elimu nyie mnashuhulika na vurugu zisizokuwa na msingi,semeni pia hapo tumepata fedha serikalini kama kawaida yenu, kupiga umbea,kahawa kulala m....... Ndiyo hatima yenu
kuhusu hiyo shule tokea mwaka jana ndiyo walianza tulianza mchakato huo na ni kweli tuko mbioni kufungua chuo kikuu
Wat is MoU
hapo hawawezi kuwauzia wakatoliki, Pengo hatoi cha juu, nao wamezoe bei ya kwenye makaratasi na bei ya Pembeni, labda watamuuzia yule mdosi, anaye wapa pesa za Pembeni/cha juu.na bado
mambo mengi yanakuja tunaweza nunua hata hicho chuo kikuu cha morogoro ni mipango tu... Hao wenzetu tukiwapa fedha watatupa kwani kina hali mbaya sana chuo chao
kanisa linakaribisha maombi ili tuweze kununua chuo hicho chakavu tukifanye kiwe chuo.
kanisa katoliki lipo kibiashara zaidi dini ni kama sehemu ya mti wenye kivuli tu![/ ahasante kwa mawazo yako lakin si ya wahusika!
Umekosea, ni chuo cha Waislaam si cha Kiislaam.
kanisa katoliki lipo kibiashara zaidi dini ni kama sehemu ya mti wenye kivuli tu!
kwa hiyo? huna mengine?.....
Naomba ufafanuzi mkuu!
mkuu kanisa katoliki lina mabingwa wa kuongoza saikolojia ya waumini wao na hata wale wasio waumini wao.
shughuli zozote zile za uuzaji bidhaa au huduma huitwa masoko.shughuli za marketing hujumuisha kutafuta mahala pa kuuzia bidhaa au huduma zako na kutafuta wateja.
umuhimu wa masoko katika biashara yako,ni sawa na umuhimu wa moyo katika kiwiliwili cha mwanadamu.moyo unaposimama mapigo,uhai hutoweka.basi vivyo hivyo shughuli za masoko zinaposimama biashara hufifia na hatimaye kufa kabisa.
mfano,usipofungua biashara yako au ukifungua bila muda maalum wateja watapotea na hatimae biashara yako itakufa.unaweza ukamwangalia kakobe kabla na sasa alikuwaje.
katika biashara,kila mtu anaweza kuwa mteja wako siku moja lakini si lazima kila mtu awe mteja wako.kwa hiyo ni muhimu ujue mteja wako ni nani!
unaweza kujua mteja wako ni nani kwa kujua mtu fulani anataka nini! kumbuka kuwa mteja hununua bidhaa au huduma ili kutimiza mahitaji au matakwa yake na si yako.kanisa katoliki ililiona hili hivyo kuweka dini pekee isingeleta ushawishi kwa watu bila kuweka vivutio vitakavyosababisha watu kushawishika navyo.
kwa hiyo ili ufanikiwe katika biashara yako, ni vema kujua kwa nini na kwa 7bu gani mteja ananunua bidhaa au huduma yako,ama sivyo utashindwa kulenga na kutosheleza mahitaji yake.