Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa Mume wake, Baada ya kumpa talaka Mahakani.
Mwanamke huyo anadai kwamba nyumba hiyo walijenga pamoja lakini ameshangaa nyumba hiyo kubomolewa. Licha ya hukumu kutoka na kutakiwa kugawana mali hizo asilimia 50 kwa 50.
Soma Pia: Mchezo wa Sheria: Apoteza haki ya mgawanyo wa mali baada ya mume kudai hajawahi kumuoa Salma Mohammed, mke alibadili jina baada ya kuolewa