Arusha: Mume avunja nyumba mtoto akiwa ndani, alimpa talaka mke

Arusha: Mume avunja nyumba mtoto akiwa ndani, alimpa talaka mke

😄 ulishakuwa na mali alafu umezinguana na mke..alafu wakati mmetengana huyo mke yuko na mtu mwingine anammega inachanganya sana 😄

Ova
Kwenye nyumba uliyojenga wewe na ukaporwa na mahakama akapewa yeye,kwa madai tulijenga wote wakati kipindi unamuoa hata vocha hakuwa na uwezo nayo
 
Shemeji 50 kwa 50 ipo hata kwenye kilichobaki usijali.Tunakusubiria tule maisha ulizani shemeji ni fala
 
Kwenye nyumba uliyojenga wewe na ukaporwa na mahakama akapewa yeye,kwa madai tulijenga wote wakati kipindi unamuoa hata vocha hakuwa na uwezo nayo
Hiyo ndiyo inatuumizaga wanaume...
Alafu unakuta kuna boya anaingizwa ndani anajipigia tu 😄

Ova
 
Huko hakupowi 😄
Ila nmemsikia huyo mama anasema alienda polisi lakini
Hakupewa msaada

Ova
Kuna wakati fulani niliishi Arusha mtaa wa majengo , jirani yangu na mkewe walikuwa wanazozana Kila siku jamaa akitoka kazini ni lazima wazozane sana.

Siku za mwanzo mwanzo nilikuwa najiuliza mara mbili mbili ,inawezekanaje mwanaume kumvumilia mke mwenye maneno ya kuudhi kama hivo aseeee!!?

Baada ya kukaa kwa muda nikaja gundua kumbe ni kama ndio style yao ya kupigishana stories baina ya mke na mume😆😆😆😆😆.

Binafsi siwezi. Nimetoka job halafu mama chanja anipokee na maneno ya karaha na kuudhi, HELL NO!
 
Kwenye mambo ya ndoa, subiri usikilize ya upande wa pili.
Nina amini mwanaume sio kichaa
 
Huo mkoa nlishaushindwa kitambo sana
Kila mtu mbabe

Ova
Bunduki zipo nyingi sana harafu hawamthamini mtu wasiemjua hata kidogo matusi nje nje...ukiwa mstaarabu wanakushangaa sana wanajua fujo hauziwezi..
 
Arusha watu wababe sana ukileta unyonge unapotea dakika moja tu..huko Kijenge juu karibu na Ngurelo wanakabana balaa utadhani wapo Mexico...
Arusha kibiashara nlikuwa sina nako zalu kila nkienda nlikuwa naliwa timing nidhulumiwe 😄
Arusha nawaonaga kama wale enzi za ma cow boy marekani enzi zile

Ova
 
Bunduki zipo nyingi sana harafu hawamthamini mtu wasiemjua hata kidogo matusi nje nje...ukiwa mstaarabu wanakushangaa sana wanajua fujo hauziwezi..
Kuna mtoto mmoja wa kiarusha
Alikuwa anapenda ubabe,dhuluma aliendaga dizonga aise hakumaliza mwezi waka mshaya

Ova
 
Arusha kibiashara nlikuwa sina nako zalu kila nkienda nlikuwa naliwa timing nidhulumiwe 😄
Arusha nawaonaga kama wale enzi za ma cow boy marekani enzi zile

Ova
Biashara Arusha usimkopeshe mtu kaa na mali mnauziana na kukabidhiana baada ya malipo wapo wakora wanameza kiasi chochote na polisi ni yao...
 
Back
Top Bottom