Arusha: Mume avunja nyumba mtoto akiwa ndani, alimpa talaka mke

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Your browser is not able to display this video.

Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa Mume wake, Baada ya kumpa talaka Mahakani.

Mwanamke huyo anadai kwamba nyumba hiyo walijenga pamoja lakini ameshangaa nyumba hiyo kubomolewa. Licha ya hukumu kutoka na kutakiwa kugawana mali hizo asilimia 50 kwa 50.

Soma Pia: Mchezo wa Sheria: Apoteza haki ya mgawanyo wa mali baada ya mume kudai hajawahi kumuoa Salma Mohammed, mke alibadili jina baada ya kuolewa
 
Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa Mume wake, Baada ya kumpa talaka Mahakani.
Wakati anaolewa hakujua kuwa kaolews na nyati?
 
Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa Mume wake, Baada ya kumpa talaka Mahakani.
Bila CCM kuondoka madarakani vichaa watazidi kuongezeka nchini.
 
Hasira zingine ni za kijinga!
Hata hivyo maamuzi yoyote yafanywayo kwa ghadhabu hayajawahi kuwa na tija
 
Safi sana hakuna kucheka na musenge.....

huyo mwanamke anaonekana kisirani sana yahn huyo kukutoa roho dakika sifuri.
πŸ˜„ ulishakuwa na mali alafu umezinguana na mke..alafu wakati mmetengana huyo mke yuko na mtu mwingine anammega inachanganya sana πŸ˜„

Ova
 
Picha limeanza vizuri big up kwa kamera man
 
Picha limeanza vizuri big up kwa kamera man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…