gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kwenye nyumba uliyojenga wewe na ukaporwa na mahakama akapewa yeye,kwa madai tulijenga wote wakati kipindi unamuoa hata vocha hakuwa na uwezo nayoπ ulishakuwa na mali alafu umezinguana na mke..alafu wakati mmetengana huyo mke yuko na mtu mwingine anammega inachanganya sana π
Ova
Hiyo ndiyo inatuumizaga wanaume...Kwenye nyumba uliyojenga wewe na ukaporwa na mahakama akapewa yeye,kwa madai tulijenga wote wakati kipindi unamuoa hata vocha hakuwa na uwezo nayo
Mali ni vitu vya kupita. Ukishakuwa navyo usiviabudu tena. Vyote tutaviacha.π ulishakuwa na mali alafu umezinguana na mke..alafu wakati mmetengana huyo mke yuko na mtu mwingine anammega inachanganya sana π
Ova
Kuna wakati fulani niliishi Arusha mtaa wa majengo , jirani yangu na mkewe walikuwa wanazozana Kila siku jamaa akitoka kazini ni lazima wazozane sana.Huko hakupowi π
Ila nmemsikia huyo mama anasema alienda polisi lakini
Hakupewa msaada
Ova
Arusha watu wababe sana ukileta unyonge unapotea dakika moja tu..huko Kijenge juu karibu na Ngurelo wanakabana balaa utadhani wapo Mexico...Arusha hakupowi
Ova
Huo mkoa nlishaushindwa kitambo sanaArusha watu wababe sana ukileta unyonge unapotea dakika moja tu..huko Kijenge juu karibu na Ngurelo wanakabana balaa utadhani wapo Mexico...
Bunduki zipo nyingi sana harafu hawamthamini mtu wasiemjua hata kidogo matusi nje nje...ukiwa mstaarabu wanakushangaa sana wanajua fujo hauziwezi..Huo mkoa nlishaushindwa kitambo sana
Kila mtu mbabe
Ova
Arusha kibiashara nlikuwa sina nako zalu kila nkienda nlikuwa naliwa timing nidhulumiwe πArusha watu wababe sana ukileta unyonge unapotea dakika moja tu..huko Kijenge juu karibu na Ngurelo wanakabana balaa utadhani wapo Mexico...
Kuna mtoto mmoja wa kiarushaBunduki zipo nyingi sana harafu hawamthamini mtu wasiemjua hata kidogo matusi nje nje...ukiwa mstaarabu wanakushangaa sana wanajua fujo hauziwezi..
Biashara Arusha usimkopeshe mtu kaa na mali mnauziana na kukabidhiana baada ya malipo wapo wakora wanameza kiasi chochote na polisi ni yao...Arusha kibiashara nlikuwa sina nako zalu kila nkienda nlikuwa naliwa timing nidhulumiwe π
Arusha nawaonaga kama wale enzi za ma cow boy marekani enzi zile
Ova