jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali
leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani
Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha
Wana imani iwe ya dini au ile ya kimila mna maoni gani?