ARUSHA: Mvua yanyesha mara baada ya hotuba ya Rais Samia

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali

leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani

Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha

Wana imani iwe ya dini au ile ya kimila mna maoni gani?
 
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]mwanza kaomba mvua mpka leo kimya,kwahiyo bi nuhu ndio kaleta hayo manyunyu leo[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Imani za kipuuzi uache. Mvua zimeshaanza kwa baadhi ya maeneo. Ndo msimu wake na wala haina uhusiano wowote na hicho unachotaka watu waamini.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
 
Ni coincidence tu. Hata hivyo ni jambo la kushukuru ilinyesha na iendelee kunyesha kwasabab mwaka huu ukiisha Bila ya mvua mambo yatazidi kuwa magumu.
 
Huyo ni chifu wetu mkuu wa machifu Tanzania......

Uwepo wake ni baraka popote pale alipo......

Malaika wa amani wa nchi yetu HUENDELEA KULILINDA TAIFA HILI.......

Amini usiamini MACHIFU hao wana nguvu kubwa ISIYOONEKANA......

SIEMPRE CHIFU HANGAYA🙏
SIEMPRE AMANI YA TANZANIA🙏
NCHI KWANZA🙏
 
😍
 
Ukame mkubwa utatokea tz na majanga makubwa ndiyo tafsiri ya hicho kitendo tena kuna kiongozi wa dini alisema mungu kajibu maombi kwa kunyesha mvua palepale nikajua huyo kiongozi ni chenga kwa sababu ukitumia akili lile tukio ni dalili za matatizo na mikosi nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…