shuve
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 312
- 103
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo tajwa abakwa adi kufariki dunia na habari kutoka kwa wanafunzi hapo wadai watu takribani 30 wamekamatwa.
NOTE: Picha zinazoonesha Mwili wa Marehemu, zimeondolewa.
Hapa chini ni Picha wakati wa uhai wake.
NOTE: Picha zinazoonesha Mwili wa Marehemu, zimeondolewa.
Hapa chini ni Picha wakati wa uhai wake.
Za saizi wana jamvi......
Habari kutoka kwa wanafunzi wanao soma hapo ni kwamba huyo dada alikua naishi kwenye nyumba moja ya staff na huyo staff alikua kma ndugu yake.
Lakini tukio limefanyanyika njee kidogo ya chuo na inasemekana amejikika sana sana kwenye mambo ya muziki kma baadhi ya picha zinavo onesha kwani hicho chuo pia kina fundisha muziki, na jana kabla ya mauti kumfika kuna moja ya darasa lilikua na kipindi kwenye ukumbi mkubwa na baadhi ya mwaka wa kwanza walikua njee kwasababu mlango ulikua umefungwa na Yeye alijaribu kufungua lkn hakuweza, ila baada ya mauti hayo kumfika Jana kuamkia Leo nje ya maeneo ya chuo kwenye shamba la mpunga ambako ndipo mwili ulipo kutwa wa marehemu huyo baadhi wanadai alikutwa na jeraha la kisu ila hakuna uhakika wa ilo, Dada huyo kama picha zinavyo jionyesha alikutwa uchi. Inasemekana kuna lodge karibu ila tusubirie habari zinakazo tolewa juu ya mazingira yalio pelekea mauti ya Dada huyo.
Mtu yeyote ambae ana taarifa zaidi au kma kuna sehemu anahisi haiko sawa katibu kwani hizi ni habari kutoka kwa wanafunzi wa chuo hicho.