Mwenye taarifa sahihi naomba kujua tafadhali,
Je, huyu binti ndiye video Queen kwenye wimbo wa Diamond wa Salome???
Maana kuna taarifa zinasambaa kuwa huyu juliana ndiye yule video queen wa kwenye wimbo ule wa Diamond,,
Naomba mwenye taarifa sahihi atujulishe,, kistaarabu tu bila matusi tunataka ukweli
Asante!
We unaongea madudu gani bhana... hoja ya watu hapa ni kwamba ana tabia ya kutembea mapaja wazi simply because wameona picha ambayo kapiga beach! Unaleta mambo ya chooni na beach... wapi na wapi! Kwahiyo wewe unaweza kubaka msichana kwavile tu uliona picha yake Facebook?inamaana wewe ukipiga picha mmadam uko bafuni, na bafuni watu huvua basi ukiiweka mtandaoni ni sawa?
kwamujibu wa maelezo yako ni kwamba hiyo picha kapiga sehemu husika na vazi ila hukuona tatizo ikiwemo kwenye mtandao.
Hapana bhana ila hivi karibuni alikuwa kwenye audition moja hivi mitaa ya Mikocheni kwa hili ya stage play!Mwenye taarifa sahihi naomba kujua tafadhali,
Je, huyu binti ndiye video Queen kwenye wimbo wa Diamond wa Salome???
Maana kuna taarifa zinasambaa kuwa huyu juliana ndiye yule video queen wa kwenye wimbo ule wa Diamond,,
Naomba mwenye taarifa sahihi atujulishe,, kistaarabu tu bila matusi tunataka ukweli
Asante!
Macho ya wanaume wengi kwa wadada yametawaliwa na mawazo mabaya ya kingono ngono na binu binua, ushahidi ni wewe ukimuona mdada mrembo mwenye shape huwa unawaza nini, mwenzao anasomea sanaa anapokuwa anayakata mauno field jukwaani yanakodoa macho kodo, yakiwaza na kuomba siku aingie kingi yamtafune, all in all R. I. P mpendwa wetuurafik upo roho hazifanani na inafuatana umepembana na nani pia kuna wanawake makatili
ila kwa kitendo alichofanyiwa huyu bint ni kibaya sana apumzike kwa amani
Visababishi vipi wewe? Weka hapa kisababishi kimoja unachokijua wewe!Wewe ndiwe mpuuzi maana badala ya kuelewa hoja unadakia ujinga, hakuna anayetetea uovu uliofanyika, kila mtu analaani, ila kinachajadiliwa ni visababishi vya tukio lenyewe.
We unaongea madudu gani bhana... hoja ya watu hapa ni kwamba ana tabia ya kutembea mapaja wazi simply because wameona picha ambayo kapiga beach! Unaleta mambo ya chooni na beach... wapi na wapi! Kwahiyo wewe unaweza kubaka msichana kwavile tu uliona picha yake Facebook?
We jamaa mtu wa ajabu sana! Kwahiyo una-assume sio?! Kwamba, kwavile ameweka FB picha aliyopiga beach akiwa mapaja wazi basi hashindwi kutembea akiwa mapaja wazi!! Nimekuuliza, wewe unaweza kubaka kwa ajili ya pic za FB?Kwanini aweke picha ya beach fb?, kama ameweza kuweka fb hata kutembea na mavazi ya beach hashindwi
We jamaa mtu wa ajabu sana! Kwahiyo una-assume sio?! Kwamba, kwavile ameweka FB picha aliyopiga beach akiwa mapaja wazi basi hashindwi kutembea akiwa mapaja wazi!! Nimekuuliza, wewe unaweza kubaka kwa ajili ya pic za FB?
Usilete hapa mifano ya marekani maana ndo waasisi wa ushogaMavazi ya mtu au muonekano wa mtu haukupi wewe mamlaka hapa chini na mbiguni kutoa roho ya binadamu mwingine. Watu wanaua wenzao hapo TZ na wala hawanyongwi leo hii huyu binti amevaa nguo ya ufukweni ya heshima kabisa na mnahalalisha kifo chake kwa kumlaumu huyu dada. Nimesikitika sana na huu upumbavu kwa kweli. Hapa Marekani ukilala hata na mke wako kwa kumlazimisha akawaita polisi unashtakiwa kwa kurape. Na ni kifungo cha miaka zaidi ya 20.
Yaani moyo wangu unamajonzi kwa kweli huyu binti amekufa kifo cha kinyama kwa sababu ya mbwa mwitu nyamafu washenzi na watafia jela.
Ikiwa umeshindwa kujibu hata swali ambalo lipo straight forward halafu unaanza ku-doubt uelewa wa wengine then utakuwa na matatizo makubwa sana! Narudia: Wewe unaweza kubaka baada ya kuwa influenced na pic uliyoiona Facebook?Naona uelewa wako unamashaka. rudia kusoma post zangu then rudi na swali tofauti.