Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Chizi hilo achana nalo
 
Kwanini aweke picha ya beach fb?, kama ameweza kuweka fb hata kutembea na mavazi ya beach hashindwi
Haya kashatembea hivyo..ndio mamlaka ya kumbaka kumuua yapatikane? We mwislam usieelimika unadhalilisha waislam wenzio wenye upeo..dada yk mwnyw wanaweza wakambaka ht km kavaa baibui..huko kwenye mavita uarabun wanawabakaga wanawake na ma nikabu yao hua wamewatamanisha? Stupid mind!
 
Nakuunga mkono na mguu. Jamaa ni mshenzi kweli. Sijui majitu mengine yalizaliwa kwny mku**ndu
 
Hamna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke kweli.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
hapa sio ishu ya urafiki ila ni ishu ya ukatili na miroho ya uuaji hapa......kumbuka ni spirit Kenya aliuawa mtu akakatwa kichwa na mazingira yalikuwa mabaya aliyokuwa yani mwili ulivokuwa naalikuwa na mwanaume.....i think wahubiri waendeleee na jamii iendelee kuhubiri Mungu KWA KASI SANA MAANA dEVIL anatupa miroho ya ukatili kwa watu japo kuna magroup n abad company....inaumiza picha hizo nazifuta kila zikiingia kwa groups nahumu bora wametoa..but I pray forensic investigation iwanase wahusika
 
Wanafunzi wa Makumira ndio Zao, Wanakuchuna Halafu Wanakukimbia, Ndio Wajifunze Sasa, Hakuna vya Bure
Nakuombea rehema kwa Mungu...
Una ndugu wa kike, dada, mama na pengine utakuja kupata mtoto wa kike...Kwa hiki ulichoandika Mungu anajua..

Ahsante...uendelee kubarikiwa
 
Wanaume wa Arusha

Hivi Juzi wanafunzi takribani 10 walikua wakiwatomba Mbwa

Tena Jana wamembaka mwanafunzi.


Jifunzeni kutongoza Wanaume wa Arusha.
 

Stupid mind ni nani kati ya mimi na wewe unayejiita "mtegemea mungu" huku unapinga ya Mungu na kuhamasisha ya shetani? kubaka ni kosa tena kubwa zaidi ni kutoa uhai wa mtu, ila tusiache jamii ikaporomoka kimaadili na kusababisha madhara.
 
Stupid mind ni nani kati ya mimi na wewe unayejiita "mtegemea mungu" huku unapinga ya Mungu na kuhamasisha ya shetani? kubaka ni kosa tena kubwa zaidi ni kutoa uhai wa mtu, ila tusiache jamii ikaporomoka kimaadili na kusababisha madhara.
Kwenda huko na maadili yako ya kinafki nguo avae mwingine we tamaa ya nini tena ufikie kumbaka hadi umuue..am sure ww una tamaa za kimmbwa na unaweza ukabaka na isitoshe ulishabaka..na point zako zisizo na mashiko..nmekuuliza swali wanawake wanaobakwa uarabun tena case km Hizo ni nyingi tu na vaz lao kuu ni baibui na hijab km sio nikab wamewatamanisha kwa lipi?
 
You are sick!
 
Ni mihimu vijana mkajua picha za Faragha zikabaki faragha, ukizoea kutupia picha za faragha mtandaoni hutoshindwa kutembea wazi mtaani, kwani hutaona aibu yoyote, kumbe hujui si wote wanaoweza kuvumilia hali hiyo, kuna wengine hiyo ni nyota ya jaha mbele yake kila siku anaimezea mate.


Sasa kama ubakaji uko Arabuni ndio tuuache na hapa kwetu uenee? ubakaji upo katika aina nyingi sasa ukileta habari za hijabu na baibui za waarabu kwenye vita na ugaidi unakua unamzungumzia mwarabu na sio Mwafrika.
 
Ndio ukemee ubakaji sio sababu ziszo na mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…