mtegemea Mungu
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 290
- 507
Chizi hilo achana naloWe unaongea madudu gani bhana... hoja ya watu hapa ni kwamba ana tabia ya kutembea mapaja wazi simply because wameona picha ambayo kapiga beach! Unaleta mambo ya chooni na beach... wapi na wapi! Kwahiyo wewe unaweza kubaka msichana kwavile tu uliona picha yake Facebook?