Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Exactly
 
watu 30 wamekamatwa....................hapa kuna namna,haiwezekani wakamatwe wengi hivyo,
 
Chanzo ni kipi?
Itakua alijichanganya
 
Aisee. Hii dunia ina mambo ya ajabu sana. Ukistaajabu ya mussa................
 
RIP Juliana. Poleni familia. Mungu awafariji
 
Poleni sana wafiwa ingawa mleta habari haijajitosheleza
yaani kwa mfano ambapo hujaelewa ni wapi???? nimeamini kuna watu mna uvivu wa kufikiri au ni upungufu wa akili. Yaani unaanzia wapi kudhani kuwa mtu anaweza kujitungia habari kuhusu Makumira??
 
R.I.P ila cha msingi ni kuwa dada zetu wajiheshimu mavazi hatari sana hao washkaji wamekosea kuua ila wangebaka tu kutuoa fundisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…