Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Unamaanisha alipigwa mtungo au alibakwa? Mtungo issue ya kawaida tu kwa watoto wa shule/chuo ila hii mpaka ya kumuua ilizidi! Dah Pole zake
Mkuu umenivunja mbavu ila ni kweli ishu za mtungo ni kawaida sana huyo mwanamke walimkaba
 
Unatumia jina kubwa sana tanzania ila unaongea pumba.Marehemu huwa hasemwi kwa utamaduni wa kitanzania.Halafu angalia maeneo aliyopo wakati wa kupiga picha.
Sio tu Marehemu hasemwi lakini alichosema hakipo manake amem-judge kwa kuangalia picha aliyopiga beach... sasa sijui ni wasichana wangapi wanavaa madela wakiwa beach.
 
kama usemavyo ni sahihi, basi ulaya kesi za ubakaji tungesikia kila siku maana wao mapaja 24/7 ni nje nje

sema arusha ujanja wa kizamani (ushamba) bado upo watu 2-10 kula cheni kawaida asa si ubwege huo na maradhi haya.
 
Tupate na story ya upande wa pili maana vibinti vya siku hizi vinajua kuumiza kweli wanaume vikifikiria vinakomoa kumbe wao wanakomolewa. Ninahisi kuna jambo limepelekea hayo kutokea. Tupate ukweli wa pande zote. Mungu ailaze roho yake pale inapostahili
 
Jaribu tena.
Hizo habari zilizushwa tu na wafananishaji ila zimeshakanushwa tayari, na angelikua ni yeye basi WBC wangekua miongoni mwa watu wa kwanza kuthibitisha
 
Ila sio sababu yakutoa uhai wa mtu na hata mtu akiumizwa vip sio sababu ya kufanya unyama huo.
 
Hello jf,habari kuhusu kubakwa then kunyongwa kwa video queen Juliana wa kwenye nyimbo ya Diamond Salome ina ukweli wowote?
 
Hizi habari zimeshakanushwa! Achen kusambaza hii kitu ni ya uongo! Na ingelikua ni kweli basi WBC wangekua ni kiongoni mwa watu wa kwanza ku thibitisha
LadyAJ, hebu iweke vizuri hii! ina maana hii habari niya kutunga!! jamani wana wa adamu tumekuwaje? aiseee!
 
Unatumia jina kubwa sana tanzania ila unaongea pumba.Marehemu huwa hasemwi kwa utamaduni wa kitanzania.Halafu angalia maeneo aliyopo wakati wa kupiga picha.

Hakuna cha maeneo wala wakati wa kupiga picha, ikiwa unaweza kuweka picha za muonekano huo kwenye mtandao basi hushindwi kuvaa hivyo mitaani. Huo ni uhuni uliowazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…