Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

LadyAJ, hebu iweke vizuri hii! ina maana hii habari niya kutunga!! jamani wana wa adamu tumekuwaje? aiseee!
Habari si ya kutunga, ila mtu aliyeuwawa si video queen wa Salome kama watu wanavyosambaza inasemekana video queen wa salome anaitwa Lilian wakati aliyeuwawa anaitwa Juliana
 
Hakuna sababu inayomfanya mwanaume abake hata Kama alikuwa uchi,watu wanabidi waache excuses kwani wote waliousika watawekwa ndani tu.
 
kwa hizo picha juu huenda amegonganisha mabwana au kala hela za wanaume halafu anawakimbia sasa 40 zimemfikia
we lazima exposure na ufahamu wako ni mdogo. Kuna nchi huyo ndio anahesabiwa kavaa vizuri na hakuna historia za kubakana. Ebu mjitafakari sometimes
 
Usiwe mwepesi kuhukumu.
 
Tatizo sio tu kuwa beach, kama ameweza kuziweka hadharani basi hata mitaani hashindwi kuvaa hivyo.
Wewe unaishi nchi ipi ? Tuanzie hapo kwanza usikute upo kule ambapo mwanamke kuendesha hata gari haruhusiwi

Hivi huyo binti kavaa kipi cha ajabu hapo ? Shida yetu Watanzania ni unafki uliopitiliza

Mnataka mtetee wabakaji walio toa uhai wa mtu kisa sijui mavazi aliyovaa ?
 

Hakuna anayetetea ubakaji hapa, tunazungumzia vichocheo vya tukio, bint mrembo halafu mchanga kama anavyoonekana unafikiri rijali gani anaweza pishana naye asigeuke kuona alichojaaliwa nacho, baada ya hapo nini kitafuata?
 
Hakuna anayetetea ubakaji hapa, tunazungumzia vichocheo vya tukio, bint mrembo halafu mchanga kama anavyoonekana unafikiri rijali gani anaweza pishana naye asigeuke kuona alichojaaliwa nacho, baada ya hapo nini kitafuata?
Wewe utasababisha nile panadol ,endelea na wengine
 
Habari, kuna tukio limetokea maeno ya chuo cha MAKUMIRA. Kuna Dada mmoja mwanachuo upande wa music amekutwa ametupwa maeneo ya ndoro kwenye mpunga baada ya kubakwa mpaka kufa.
 
Hivi kwann baadhi ya wanaume mkishasimamisha kile kichwa cha chini mnakua na roho mbaya kiasi hiki? Hata kama wabakaji hawatakamatwa na mamlaka ya Kidunia ila wajue dhambi waliyoitenda haitawaacha kamwe! Damu ya Huyu Dada itaendelea kuwalilia wao na vizazi vyao, na laana hii itawafikia watoto wao na mikosi itakua juu yao, baka Leo mwanao abakwe kesho! InshaAllah
 
And this is supposed to be Home of Great Thinkers!
 
Hapa naamini viongozi wetu wa serikali watatoa ushirikiano kabambe na wote waliohusika kutiwa nguvuni.
Hivi majuzi mawaziri zaidi ya wawili walionyesha mshikamano sana pale kijana wa shule alipotandikwa kule mbeya. Na hukumu kwa wale walimu ilitolewa ndani ya masaa machache tu......sasa kwa kuwa hapa MTU kabakwa hadi kuuawa, nguvu ya dola iungane kwa nguvu maradufu na wahalifu watiwe nguvuni.
 
wewe illuminata mbona unarudia habari ambayo ishatolewa na umeichangia kwenye ule uzi
 
Hao wanaosema wanawake wanatembea uchi na wanawatega wanaume na kuona adhabu yao ni kubakwa ,okay.

Sasa jua kwamba hata wewe,mkeo ama mwanao awapo mbali na upeo wako,ama kwenye harusi ama shule,Ukipewa picha yake utaweza kuzimia!

na baada ya kuzinduka kutoka kuzimia hatokanyaga tena nyumbani kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…