LIGALAWISI
Member
- Mar 22, 2012
- 13
- 9
Ubinadamu haupo tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ukemee ubakaji sio sababu ziszo na mashiko
Sasa hivi naogopa watu wenye jinsia ya kiume. Nikiwaona nabadili njia.Sheeeeeenz!
Umeongea vizur kabisaNasikitishwa sana na mawazo ya wanaume wenzangu nayoyaona hapa kwa hi thread. Eti binti inaonekana amevaa vibaya kwasababu kapost picha ndani ya nguo ya beach inaonesha ana uwezo wa kuvaa hizo hizo nje. Kwa kweli wanawake wana haki ya kukaa vyovyote anavotaka bila kubakwa. Hata akikaaa uchi wa mnyama. Kuna wanawake wako india wamebakwa na minguo yao yanacover mwili mzima. Ubakaji sio kosa la mwanamkwe hata siku moja na yeyote atayesupport kwamba alikuwa amevaa vibaya amepita sehemu mbaya ni MJINGA . Binadamu yeyote tuna kila haki ya kuwa safe and secure katika maeneo tunayoishi au kutembea...mtu yeyote anayetuondolea haki hii ni MHALIFU. Naisihi serikali iwape adhabu ya kunyongwa wanaobaka wanawake kwa mfano huu 'gangrape' kukomesha hii tabia Tanzania. hii ni case ya pili ndani ya miezi 18. Nategemea viongozi waje juu kama walivyo kuja juu wakati wa yule mtoto wa mbeya kuchapwa..mpaka wahalifu wanyongwe tu.
WAnawake asiwatishe mtu eti ukivaa kimini utabakwa...kuwa huru vaa upendavyo kama sisi wanaume tulivyo huru kuvaa tupendavyo. asikunyime mtu haki yako ya msingi... na mwaka huu wabakaji wasiposhughulikiwa na serikali watanyongwa mtaani kama wezi wanavyochomwa moto mitaaani
Kuna wanaume wanafki sana kwa kweli, eti atakuwa kala hela ya mtu ndio mana kabakwa wangapi mmewachezea wanawake na kuwapotezea muda na kuwatekelezea watoto. Je mlifanyiziwa? wangapi wamekula hela za wanawake wengi tu. Hamna mtu ana haki ya kuondolewa uhai wake.
Yeah....I get you very well. Sio kila picha inapaswa kuwekwa ktk mitandao maana picha utakayoiweka ktk mitandao inakuwakilisha wewe. Tujifunze kuwa na privacy kuheshimu miili yetu. Though sijui km huwa anavaa hivyo nje ya mitandao Ila walombaka walichokifanya sikiungi mkono kabisa. R.I.P Julianainamaana wewe ukipiga picha mmadam uko bafuni, na bafuni watu huvua basi ukiiweka mtandaoni ni sawa?
kwamujibu wa maelezo yako ni kwamba hiyo picha kapiga sehemu husika na vazi ila hukuona tatizo ikiwemo kwenye mtandao.
JamiiForums huijui wewe... C'oooon
Hahahahahaa, walishakutenda nn? Pole mdogowangu, hebu nitafute kuleee unambie ilvokuwa.Sasa hivi naogopa watu wenye jinsia ya kiume. Nikiwaona nabadili njia.
Sitaki hata kukutana na nyie..
Swainnnnnnn
Inabidi uhame na humu jf maana wapo wengi utakutana naoSasa hivi naogopa watu wenye jinsia ya kiume. Nikiwaona nabadili njia.
Sitaki hata kukutana na nyie..
Swainnnnnnn
Pole lakini si wote...Sasa hivi naogopa watu wenye jinsia ya kiume. Nikiwaona nabadili njia.
Sitaki hata kukutana na nyie..
Swainnnnnnn
Sio yy, huyo model kahojiwa mchana huu na mawingu fm, yupo haiIs it true?!
Ndio huyo
Usalama upi wa hiyo account unaohoji wewe? Kuna tatizo gani kwa mtu kuwa msanii? Umetumia vigezo gani ku-conclude kwamba anaonekana anapenda starehe?Hiyo account unaona ni salama wewe? kwanza dada mwenyewe anaonekana napenda starehe we unategemea nini? na ubaya zaid ni msanii sura yake inajulikana mwachoni mwa wengi we unategemea nn? ndo maana nasema uchunguzi ufanyike kwanza
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo tajwa abakwa adi kufariki dunia na habari kutoka kwa wanafunzi hapo wadai watu takribani 30 wamekamatwa.
NOTE: Picha zinazoonesha Mwili wa Marehemu, zimeondolewa.
Hapa chini ni Picha wakati wa uhai wake.
View attachment 428367 View attachment 428368 View attachment 428369
Kweli kabisaa. Je na wanaobaka watoto wadogo au wanafunzi/ Je wale wanabaka vibibi vizee, hao nao wametembea uchi? Wabongo tunapenda sana kuhalalisha upuuzi. Tabia za kishenzi tuu.Mwanamke akivaa uchi na kutembea hivyo ni kanuni ipi inayokushurutisha mwanaume kumbaka? Umelazimishwa na nani kumwangalia? Tuache kuhalalisha upuuzi kwa sababu dhaifu.
Kama mwanaume anaebaka tutakubaliana nae kwa kisingizio cha mwanamke kutembea uchi,je wale wanaobaka mbwa,punda na mbuzi,wao huwa wanavutiwa na kipi kwa hao wanyama?
Ukitafakari haya utaona kuwa kinachotusumbua ni kujiendekeza na kujifyatua akili tu na si jingine lolote. Tuache visingizio.
Nikikuta mwanaume analiwa na fisi nampaka mafuta atafunwe vizuriii.Hahahahahaa, walishakutenda nn? Pole mdogowangu, hebu nitafute kuleee unambie ilvokuwa.
Humu sileft ila nyie mmmhInabidi uhame na humu jf maana wapo wengi utakutana nao
Mkuu umesema tunatumia majani ya kisimiri? Sisi ni watu wazuri sana mkuu...Mimi pia nalaani sana hicho kitendo alichofanyiwa huyo binti, May her soul rest in eternal peace. AmenHuwezi kumlaumu kwakuwa hujui hasa ni eneo hatari kiasi gani.
Pale Makumira chuo kimezungukwa na wanywa gongo na wavuta bangi eneo la Kilala.
Wale wameru wamechukia sana uwepo wa chuo hasa wanafunzi waliokuja kuharibu tamaduni yao ya jadi hasa maadili.
Pia kumbuka ,Pale chuo kipo kijijini,Arumeru,Watu wa Kilala,Singisi na USA river hasa vijana wanatumia sana yale majani ya Kisimiri na mwisho wake ndo huo ubakaji.
Picha nineziona watsupp hazifai.
Siku za Mwisho kutakuwa na matukio ya kutisha,haya yalitabiriwa na Kristo,na sasa yanatokea.
Nawasihi ndugu zangu ,hili tukio tumhusishe SHETANI moja kwa moja na si siasa wala chama!
Pole sana Wanawake wote wa dunia hii,pole wazazi wenye watoto wa kike,Pole kwa wanaume wote wanaojali wanawake na Mungu ndio ataamua kumweka anapostahili,siwezi kumpangia amiweke wapi maana maandiko (Biblia) ipo wazi!