Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,025
- 2,261
[emoji33] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuita wenzako majitu kwavile tu hawakubaliani na wewe! kama ni majitu basi hata wewe mwenyewe ni jitu tena lisilo hata na haya! Ni jitu lenye akili za hovyo tu ndie anaweza kuhalalisha mtu kuuawa kwa hoja za kpiuuzi kabisa... shame on you! Unajifanya una mahadili; una maadili gani wewe?Mbona huyo msichana anaonyesha kabisa mkuu? mimi nashangaa mijitu imekomaa huko inamtetea eti vile vivideo kule insta ni vya kawaida eti havina shida
We ni mpuuzi tu ambae inaonekana una damu yaa kupenda uhalifu mpuuzi mkubwa wewe! Ni mpuuzi tu ndie anaweza kuhalalisha mtu kuuawaa kwa kigezo eti anaenda beach; boya wewe! Na wewe unaonekana una damu ya ubakaji ndo maana unatetea hao washenzi kwa kutoa justification za kijingaMitanzania sikjui ikoje sasa nyie mlitaka aanike papuchi huko insta ndo mjue yuko uchi? poor you stupid hakuna siku mmenikasirisha kama leo. Huyu msichana ni mtu wa viwanja inaonyesha kabisa na kuna videoo huko youtube anauza sura sasa nyie mnakataa nini? we unataka uniambie utaanika vimatako vyako mbele ya watu tuone ni jambo la kawaida? huko kwingine naweza vumilia ila kama watu mko bichi fanyen yenu huko msije kuanika maungo yenu humu mitandaoni na kwa taarifa yenu nyie mnaemtetea mnafahamu keshakufa hivyo hamuwez kumrudisha hata mfanyeje
Kuna mda unafika najiona niko tofauti na binadamu wenzangu.
Unaweza kuta tupo msibani, ajali au kwenye tukio la mauaji unakuta watu wote wako na huzuni ila mimi niko freshi na nina amani kabisa moyoni wala siwazi yani nachukulia ni jambo la kawaida tuu
Hata wakati wa usiku wa manene huwa siogopi kutembea nje na hata kama hilo eneo lina mashetani au linahisiwa vibaya mimi napita tuu.
Nina hasira za karibu sana na huwa nikigombana na mtu huwa sinaga time nae tena na hata tukija kupatana ni baada ya miaka mingi sana. Hali hii imenifanya kuwa mtu wa visasi na huwa sikubaligi kushindwa jambo kabisa, niko radhi nirudi nipambane na nishinde hilo jambo.
Pia nimekua na hamu sana ya kuwa mwanajeshi, mimi raha yangu kuona muvi za action tuu watu wakivuja damu na magorofa yakilipuliwa.
Huwaga najipenda mwenyewe kwanza halafu ndio naangalia na wengine.
Ndugu zangu hata wakifa mimi naona poa tuu na ninavyowaandikia hapa baba yangu ni marehemu na bado halinipi shida mimi naona kitu kidogo tuu.
Hata wazazi wangu nawachukuliwa kawaida tuu hata siwaogopi.
Shuleni nimewahi kuwa na uadui na wale wababe wa shule na kwanza nilikua sinaga time nao.
Kuna mmoja aliwahi kuniambia nina dharau mimi sikumjibu nikaendelea na mambo yangu.
Kuna mmoja alinipiga mgongoni hiyo ndo ikawa safari hadi saivi natamani nikamchome kisu.
Mimi raha yangu ni kusikia watu nisiowapenda wamepata matatizo hata kufa kabisa.
Mimi watu ninaowapenda ni wale wauaji na makatili waliowahi kutokea hapa duniani.
Mimi sipendagi kuonewa kabisa ila nikiona mtu anaonewa ambae hana hatia huwaga nakasirika sana na sa nyingine kuokoa huyo mtu.
Nimekua sina mda sana na wanawake, wakiniletea za kuleta nawapiga chini naendelea na maisha yangu peke yangu, Msichana yeyote akinisma vibaya mimi namfata nampiga makofi naondoka zangu maana mimi si mtu wa maneno.
Nimekua na kiburi mno hata ndugu zangu wanalitambua hili na hii imefanya baadhi ya watu wengi kuniogopa sana.
Kwa thread yako hiyo umehitimisha mjadala huu kwa sababu mtu mwenye akili timamu hawezi kung'ang'ania kwamba yule msichana alikuwa malaya na mpenda starehe wakati hata kumjua humjui... Kwa thread yako hii, unaonesha wazi una matatizo!!! Na hata waliokuwa wanaku-support sidhani kama walifahamu walikuwa wana-support mtu mwenye matatizo ya akili!
Sasa wakuu kama nilivyojielezea hapo nawezaje kuepukana na hali yangu hii niliyonayo?
Nawasilisha.
Kumbe nilikuwa najibishana na mgonjwa wa akili...
Kwa thread yako hiyo umehitimisha mjadala huu kwa sababu mtu mwenye akili timamu hawezi kung'ang'ania kwamba yule msichana alikuwa malaya na mpenda starehe wakati hata kumjua humjui... Kwa thread yako hii, unaonesha wazi una matatizo!!! Na hata waliokuwa wanaku-support sidhani kama walifahamu walikuwa wana-support mtu mwenye matatizo ya akili!
Watu wanaobakwaga wote wamepangiwa? Binadam sijui mkojeSifatilii maisha ya mtu ila hiko kitu hapo juu labda alitapeli. Sasa mtu hana makosa atauliwaje?? we huoni kuna sababu na pia kifo chake kama kilipangwa
Utamadun wa kiafrica unaujua ww? Mwafrica asili yake kukaa uchi nguo alizileta mzungu lbd km ina africa nyingine unayoisemea mwenzetu!za heshima wapi wewe mtu kaweka vivideo vyake mle ana maana gani? kama sio alikua anatangaza biashara. yani hata haya huoni kuweka utupu wako mtandaoni? watoto, wadogo zako hadi wazaz wanatizama halaf unamsifu? usilazimishe ndugu embu tuishi utamaduni wetu wa kiafrica huko bado sana mpaka mwaka 3000.
Usikurupuke kama huyu mbugila chige
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa nmeelewa naongea na mtu wa aina gani..ww na sayansi uliyosoma imekusaidia nn? Km sio bla bla za jf hp..kwanza elimu ynyw huna am sure ungekua nayo usingekua unatype hivo unavyovitype..science takers hatuko km wwHalaf mkuu watu hawasoma huku na wengi wao ni form 4 failure. Yan hata kutumia zile newton laws of motion wanashindwa kutatua hili tatizo?
Hata kama wamefaulu ni yale masomo ya sanaa
Nna umri unaokaribiana na wazazi wakoUna umri gani mkuu?
Na yy mwanaume alieweka avatar ya kike tumtuhumu kua ni kina kaoge ai james delishaz??..yy si bingwa wa kuhukumu tokana na picha za kwny social network?Madai yako ya kwanza ni kwamba msichana anaonekana ni mpenda starehe... kisa? Anaenda beach!!! Dai lako la pili ni kwamba msichana ni muhuni... kisa? Kaweka picha instagram akiwa na beach wear!
We're living in completely two different world... KWAHERI!!
Yaan nashindwa nimuweke kundi gan maana hata neno useless no dogo kwakeEnzi zetu hata kama jambo dogo lazima tutimbe beach... kumbe kwenda beach nako ni kupenda starehe... dunia ina vituko hii!!! Yaani kabisa mtu unaongea mbele za watu
"dah, yule jamaa anapenda starehe kishenzi..." mwingine anadakia;
"ahaaa?! Anatimbaga Viwanja gani?"
"beach!"
Halafu huko beach kwenyewe mtu anaenda mwaka mara moja lakini mtu mtu anapata nguvu za kuhusisha kuuawa kwake na kupenda starehe za kwenda beach!!!!!
Uongo mkuu yule video queen wa kwenye wimbo wa diamond_salome anaitwa Hamisa.
LadyAJ umenisaidia kujibu hii kichwa nazi isiyoelewa!Labda tukuulize wewe unaishi wapi, labda unapoishi pia panaweza kuwa sababu
Hapana bhana ila hivi karibuni alikuwa kwenye audition moja hivi mitaa ya Mikocheni kwa hili ya stage play!
Umeona km nlichoona mm..alikua na tabasami zuri sana!Twende mbele turudi nyuma marehemu alikuwa na tabasamu zuri, na alikuwa anapenda vitu vya asili mara porini, ziwani kuna kipindi nilimuona kwenye mashamba ya mpunga na wale wehu walivyomaliza yao wakambwaga kwenye mipunga, very sad
Mtoto wa miaka7 akibakwa nae ni malaya vibibi vya miaka 90 navyo hia ni malaya..short minded!Muwaambie waache Umalaya!!
Ss w ukikasirika kuna hasara gan..kasirika hata ufe kabisa..huna faida! Mnavamia tu jukwaa la great thinkersMitanzania sikjui ikoje sasa nyie mlitaka aanike papuchi huko insta ndo mjue yuko uchi? poor you stupid hakuna siku mmenikasirisha kama leo. Huyu msichana ni mtu wa viwanja inaonyesha kabisa na kuna videoo huko youtube anauza sura sasa nyie mnakataa nini? we unataka uniambie utaanika vimatako vyako mbele ya watu tuone ni jambo la kawaida? huko kwingine naweza vumilia ila kama watu mko bichi fanyen yenu huko msije kuanika maungo yenu humu mitandaoni na kwa taarifa yenu nyie mnaemtetea mnafahamu keshakufa hivyo hamuwez kumrudisha hata mfanyeje