Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Kumbe nilikuwa najibishana na mgonjwa wa akili...
Kwa thread yako hiyo umehitimisha mjadala huu kwa sababu mtu mwenye akili timamu hawezi kung'ang'ania kwamba yule msichana alikuwa malaya na mpenda starehe wakati hata kumjua humjui... Kwa thread yako hii, unaonesha wazi una matatizo!!! Na hata waliokuwa wanaku-support sidhani kama walifahamu walikuwa wana-support mtu mwenye matatizo ya akili!
[emoji134][emoji134][emoji134]Kumbe ni chizi uwii
 
We ni mpuuzi tu ambae inaonekana una damu yaa kupenda uhalifu mpuuzi mkubwa wewe! Ni mpuuzi tu ndie anaweza kuhalalisha mtu kuuawaa kwa kigezo eti anaenda beach; boya wewe! Na wewe unaonekana una damu ya ubakaji ndo maana unatetea hao washenzi kwa kutoa justification za kijinga
Afadhari umempa za USO huyu njaa laana au Ni kati ya wabakaji.ivi wanavyobakwa watoto haoni...shame on her/him
 
Nashaka anaweza kuwa anajua kuhus mmuaaji au anahusika moja kwa moja, ingekuwa nchi za watu huyu angechunguzwa wa kwanza, maana haiwezekani awe na chuki kiais hiki na marehemu.
Upo sahihi kabisa... yaani anavyokazana ku-justify yale mauaji; itakuwa kuna jambo huyu si bure! Ajabu zaidi hoja anazotoa wala hazina mashiko... inawezekana kuna kitu anakifahamu kuliko reference yake ya picha ya Instagram anayotoa kama kigezo cha kwamba yule msichana alikuwa malaya na mpenda starehe... manake dots hazi-connect hata chembe!
 
Afadhari umempa za USO huyu njaa laana au Ni kati ya wabakaji.ivi wanavyobakwa watoto haoni...shame on her/him
Nimeanza kukubaliana na maelezo ya Kibanga Ampiga Mkoloni kwamba huyu kuna jambo anafahamu kuhusu haya mauaji.... kama hausiki yeye binafsi basi wahusika anawafahamu na ndio maana anahangaika ku-justify kwa hoja zisizo na kichwa wala miguu!
 
Twende mbele turudi nyuma marehemu alikuwa na tabasamu zuri, na alikuwa anapenda vitu vya asili mara porini, ziwani kuna kipindi nilimuona kwenye mashamba ya mpunga na wale wehu walivyomaliza yao wakambwaga kwenye mipunga, very sad
Upo sahihi kabisa! Na anaonesha wazi kwamba passion ya usanii wake ipo zaidi kwenye traditional art and performance.
 
Sifatilii maisha ya mtu ila hiko kitu hapo juu labda alitapeli. Sasa mtu hana makosa atauliwaje?? we huoni kuna sababu na pia kifo chake kama kilipangwa
Mara ya kwanza ulisema huyu demu alikuwa malaya; ukaja na hoja kwamba alikuwa mpenda starehe kupitiliza na sasa unakuja na hoja ya utapeli... shame on you mhalifu dhalimu mkubwa wewe! Usivyo na aibu; yaani unataka kusema hicho alichotapeli ni nini hata hukumu yake iwe kifo?! Angekuwa ametapeli kitu cha maana hadi kumuhalalishia kifo angekuwa anahangaika kutafuta fursa za kufanya sanaa? Majuzi tu hapa alikuwa Mikocheni kwenye audition ya stage performance ya kuadhimisha kifo cha Mwalimu... angekuwa ametapeli kitu cha maana angekuwa anahangaika kote huko?!

But it's fine kwa sababu kumbe tangu zamani ulishatoa ushuhuda hapa JF:
Mimi raha yangu ni kusikia watu nisiowapenda wamepata matatizo hata kufa kabisa. Mimi watu ninaowapenda ni wale wauaji na makatili waliowahi kutokea hapa duniani.

Kwa staili hiyo, lazima tu utahangaika kutafuta jusstification ya yale mauaji kwa sababu kilichotokea ni sabuni ya roho yako!!! Mpaka sasa umeshatoa sababu 3 za kwanini huenda alistahili kubakwa na kuuawa:
  • Anapenda sana starehe kupita kiasi...
  • Ni malaya
  • Utapeli
Endelea kuweka sababu zingine uifurahishe nafsi yako iliyosheheni udhalimu.
 
Upo sahihi kabisa! Na anaonesha wazi kwamba passion ya usanii wake ipo zaidi kwenye traditional art and performance.
Roho inauma mbaya nasikia alikuwa binti mdogo mwenye miaka kumi na nane tu lakini mwenye kipaji cha hali ya juu
 
Hivi mmechek picha zilizo kwenye instagram page yake? Mbona pale Nguo nyingi tu kavaa ni za heshma? Tusipende kum judge mtu aliyefikwa na Matatizo kina Gigi kila siku wanakaa uchi kama lengo la wabakaji kurekebisha tabia kwanini wasiwafate kina gig Money, Amba Lulu, shilole na wenzao?

Kuna mambo mengi kuhusu mtu kubakwa na kufika kuuwawa, tunachozungumzia ni mchango wa mhusika katika tukio, wabakaji hawaji hadharani, hao uliowataja wanajiachia hadharani maeneo ambayo si hatarishi, hilo lazima uelewe utake usitake matukio ya namna hii mara nyingi(sijasema mara zote) husababishwa na mhushika kujiweka katika mazingira HATARISHI, mfano tu unaweza kueleza usiku huo alikuwa anatoka wapi? ama walimfuata chumbani kwake?
 
Lakini siku zote tutawatupia lawama wabakaji,,,,kwajinsi hawa dada zetu mavazi wanaoyo yavaa siku hizi ni ngumu sana kujizuia...
 
Mnajaribu ku-justify uhalifu! Moja ya mauaji ambayo yalichukua airtime kubwa mwaka huu ni mauaji ya Annet Msuya ambae pia alibakwa! Huyu hakufanyiwa ukatili sawa na huu akiwa nyumbani kwake?! Kama wahalifu wanakuwa motivated na hayo mnayosema; mbona Annet aliuawa? Ni watu wangapi wanachomolewa hata kutoka kwenye nyumba au magari yao na kisha kuuawa kabla hawajatupwa porini?

Aidha unadai hao akina Gigy Money hawajiachii sehemu hatarishi ukijaribu kuhalalisha kwamba huenda marehemu alikuwa anajiachia sehemu hatarishi! Hivi kabisa unaamini mtu kama Gigy Money au Lulu hawaendi baa au club?! Au unaamini huwa wanaenda mchana na ucku hawatoki?! Seriously?! Au hayo maeneo hatarishi ni yapi hasa?! Au beach kama ambavyo hapo awali mlisema kwamba marehemu anaonekana ni mtu wa anasa kwavile tu kaweka picha akionesha yupo beach!!
 
Kumbe nilikuwa najibishana na mgonjwa wa akili...
Kwa thread yako hiyo umehitimisha mjadala huu kwa sababu mtu mwenye akili timamu hawezi kung'ang'ania kwamba yule msichana alikuwa malaya na mpenda starehe wakati hata kumjua humjui... Kwa thread yako hii, unaonesha wazi una matatizo!!! Na hata waliokuwa wanaku-support sidhani kama walifahamu walikuwa wana-support mtu mwenye matatizo ya akili!

Asante sana mkuu. Jamii yetu imezungukwa na wagonjwa wengi sana hasa wa matatizo ya akili na psychology. Unaweza kuwa unagombana, kubishana na MTU, na ukatumia nguvu nyingi sana kumbe bila kujua unaongea na MTU mwenye matatizo.

Pole sana big gift jitahidi kutafuta wabobezi katika masuala ya psychology, naamini Mungu atakusaidia. Ushauri wangu mwingine kwa kuwa umeshajijua tatizo lako, jitahidi ujichanganye na vitu positive, soma vitu vyenye mrengo chanya, fuatilia watu positive, sio sifa kuwa katika hiyo hali (kama katika post hii) bila mkuu kupekua kuhusu we tungeendelea kukulaumu kumbe u-mgonjwa. Pole sana once again.
 
Lakini siku zote tutawatupia lawama wabakaji,,,,kwajinsi hawa dada zetu mavazi wanaoyo yavaa siku hizi ni ngumu sana kujizuia...

Mkuu kwa hiyo ukikutana na msichana kavaa nguo fupi unambaka? Aisee akili hizi sijui tunaenda wapi........
 
Asante sana mkuu. Jamii yetu imezungukwa na wagonjwa wengi sana hasa wa matatizo ya akili na psychology. Unaweza kuwa unagombana, kubishana na MTU, na ukatumia nguvu nyingi sana kumbe bila kujua unaongea na MTU mwenye matatizo.

Pole sana big gift jitahidi kutafuta wabobezi katika masuala ya psychology, naamini Mungu atakusaidia. Ushauri wangu mwingine kwa kuwa umeshajijua tatizo lako, jitahidi ujichanganye na vitu positive, soma vitu vyenye mrengo chanya, fuatilia watu positive, sio sifa kuwa katika hiyo hali (kama katika post hii) bila mkuu kupekua kuhusu we tungeendelea kukulaumu kumbe u-mgonjwa. Pole sana once again.
Asipofuata ushauri mujarab kama huu basi atakuwa na safari ndefu sana ya ku-recover! Mtu hadi anafikia kusema huwa anakuwa na mahaba makubwa kwa wauaji... I was shocked!
 
za heshima wapi wewe mtu kaweka vivideo vyake mle ana maana gani? kama sio alikua anatangaza biashara. yani hata haya huoni kuweka utupu wako mtandaoni? watoto, wadogo zako hadi wazaz wanatizama halaf unamsifu? usilazimishe ndugu embu tuishi utamaduni wetu wa kiafrica huko bado sana mpaka mwaka 3000.

Usikurupuke kama huyu mbugila chige
WEWE HUUZI?
 
Kuna watu wanamhukumu marehemu lakini hawajui ilo ni kosa kubwa la kiufundi.
 
Mnajaribu ku-justify uhalifu! Moja ya mauaji ambayo yalichukua airtime kubwa mwaka huu ni mauaji ya Annet Msuya ambae pia alibakwa! Huyu hakufanyiwa ukatili sawa na huu akiwa nyumbani kwake?! Kama wahalifu wanakuwa motivated na hayo mnayosema; mbona Annet aliuawa? Ni watu wangapi wanachomolewa hata kutoka kwenye nyumba au magari yao na kisha kuuawa kabla hawajatupwa porini?

Aidha unadai hao akina Gigy Money hawajiachii sehemu hatarishi ukijaribu kuhalalisha kwamba huenda marehemu alikuwa anajiachia sehemu hatarishi! Hivi kabisa unaamini mtu kama Gigy Money au Lulu hawaendi baa au club?! Au unaamini huwa wanaenda mchana na ucku hawatoki?! Seriously?! Au hayo maeneo hatarishi ni yapi hasa?! Au beach kama ambavyo hapo awali mlisema kwamba marehemu anaonekana ni mtu wa anasa kwavile tu kaweka picha akionesha yupo beach!!

Hakuna mtu anajaribu ku-justfy uhalifu, uhalifu utaendelea kubaki uhalifu tu, nimekwambia uhalifu uko wa aina nyingi na sababu zake ni nyingi pia, sasa kuleta kwako suala la Annet Msuya ndio umeona kigezo cha kuonesha kwamba wauwaji hawana zaidi ya ubakaji na uuwaji, pia huoni kwamba ume-support hoja yangu kwamba kunakuwa na zaidi ya hayo nyuma ya tukio? Annet Msuya issue inahusu visasi na mali, hivyo lengo halikuwa ubakaji wala tamaa ya ngono.
 
Back
Top Bottom