Asante sana mkuu. Jamii yetu imezungukwa na wagonjwa wengi sana hasa wa matatizo ya akili na psychology. Unaweza kuwa unagombana, kubishana na MTU, na ukatumia nguvu nyingi sana kumbe bila kujua unaongea na MTU mwenye matatizo.
Pole sana
big gift jitahidi kutafuta wabobezi katika masuala ya psychology, naamini Mungu atakusaidia. Ushauri wangu mwingine kwa kuwa umeshajijua tatizo lako, jitahidi ujichanganye na vitu positive, soma vitu vyenye mrengo chanya, fuatilia watu positive, sio sifa kuwa katika hiyo hali (kama katika post hii) bila mkuu kupekua kuhusu we tungeendelea kukulaumu kumbe u-mgonjwa. Pole sana once again.