Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Wamemnyanyasa sana wakamatwe mauwaji hao kwa nini ubake ?
 
Mkuu kwa hiyo ukikutana na msichana kavaa nguo fupi unambaka? Aisee akili hizi sijui tunaenda wapi........
Sina maana hiyo mkuu unajua wewe utajizuia sawa na unaweza ukawa hauko hivyo,,,je watu wote watajizuia kama wewe.....
 
Hakuna mtu anajaribu ku-justfy uhalifu, uhalifu utaendelea kubaki uhalifu tu, nimekwambia uhalifu uko wa aina nyingi na sababu zake ni nyingi pia, sasa kuleta kwako suala la Annet Msuya ndio umeona kigezo cha kuonesha kwamba wauwaji hawana zaidi ya ubakaji na uuwaji, pia huoni kwamba ume-support hoja yangu kwamba kunakuwa na zaidi ya hayo nyuma ya tukio? Annet Msuya issue inahusu visasi na mali, hivyo lengo halikuwa ubakaji wala tamaa ya ngono.
Nimekupa mfano wa Annet ku-crash madai yako kwamba huenda marehemu alikuwa mpenda starehe na mwendaji wa sehemu hatarishi kwani Annet aliuawa nyumbani kwake! Pole sana ikiwa mfano rahisi kama huu unakushinda kiasi cha kuona na-support hoja yako! Huo mfano ulitosha kukuonesha, ili watu wafanye uhalifu; si lazima uwe mtu wa kwenye mabaa au starehe!

Hapa hakuna anayefahamu
sababu za kuuawa kwake bali na-crash sababu mnazotoa nyinyi manake ZOTE hazina mashiko! Nitakuwa mtu wa ajabu kama sio kiroja kutoa possible reason ni kuvaa nguo fupi kwa sababu tu nimeona picha moja kwenye Instagram account yake akiwa na nguo fupi tena wakati yupo beach!

Nitakuwa mtu wa ajabu kama si kiroja ku-assume ameuawa kv anaonekana ni mpenda starehe! Si kwamba nimeona picha zake kadhaa akiwa bar au club bali kwavile tu nimeona picha yake moja akiwa beach... ndo basi tena nahitimisha huyu anaonekana alikuwa mpenda starehe kupitiliza... aaaaaaargh!
 
Sina maana hiyo mkuu unajua wewe utajizuia sawa na unaweza ukawa hauko hivyo,,,je watu wote watajizuia kama wewe.....

Watu wengine wataendelea na matendo ya kinyama kama haya ya kubaka na kuua kwa sababu tu wamezungukwa na akina Gne gne wanaotaka ku-justfy kuwa msichana au mwanamke akiwa nusu uchi (kitu ambacho sijakiona marehem) basi ni tiketi ya kubakwa hadi kuuawa.
Kwa nini tusijenge jamii ya kutambuana na kuheshimiana kwa namna Mtu alivyo? Leo hii tunaona watoto wadogo kabisa wakibakwa na kufanyiwa ukatili wa kutisha, vikongwe hali kadhalika sababu kuu ni kukaa kimya kwa baadhi yetu, lakini pia ni hali ya kushabikia mambo kama haya.
Itanichukua muda sana kuelewa MTU anayetaka kuhalalisha ukatili huu.
 
Sawa mkuu nmekupata sana umenena vyema [emoji106]
 
mkuu unaongea na watu hapa ambayo hata haijawahi kusafiri zaidi ya kutembelea dar,huyo dada hakuna nguo wala sehemu yoyote kavaa nusu uchi,hizo nguo za kawaida saaana,achana nao save your energy kwa mijadala mingine
 
Mkuu Nkanaga,

Umeongea jambo la msingi sana... WATOTO! Haya basi ndugu yangu Mahmoud Qaasim tusaidie na hapa! Wale watoto ambao si ajabu hata kidogo kusikia nao wamebakwa na kuuawa! Nao wanakuwa wavaa nguo fupi?! Nao wanakuwa ni watu wanaotembelea sehemu hatarishi?! Nao wanakuwa ni watu wanaopenda kujirusha?! Au hujawahi kusikia matendo kama haya hata uamini unapotokea ushenzi kama huu basi itakuwa ni fault ya muathirika! Mwakajana mtoto wa kiume alifanyiwa unyama ambao sikuwahi hata kuuwazia kwamba ungeweza kutokea! Mtoto huyu alilawitiwa na vijana zaidi ya mmoja na kama hiyo haitoshi wakamshindilia vitu kwenye njia ya haja kubwa lakini bado kuna watu wanaamini hata panapotokea ukatili kama huu bado kutakuwa na sababu! Hivi ni sababu gani inaweza kuhalalisha ukatili kama huu!
 
Sipendi unafiki wanawake mnasababisha wenyewe tamaa ya kubakwa unatembea uchi ukionekana mtaani wahuni wanadhani wewe ni kahaba jaribu kujistahi.
Poleni wafiwa
Mkuu watanzania ni wanafiki sana, ni watu wa kuonyesha huruma huruma za kijinga hata bila kutafakari.

Hawana msaada zaidi ya huruma, Kwanza unakuta huyo binti wakati anafanyiwa hilo tukio kuna watu walishuudia na hakuna chochote walichofanya kumsaidia huyo binti, badala yake wanakuonyesha mapovu ya huruma mtandaoni.

Kuna mwingine anakwambia eti hata hizo picha za marehemu kuziweka humu ni udharirishaji wakati marehemu mwenyewe anaonekana alikuwa comfortable kuziweka mtandaoni na zinaweza kutoa taswira huyo marehemu alikuwa ni mtu wa aina gani. Yaani watu ni unafiki ndio umewajaa hadi akili zimefunikwa.
 
RIP Juliana. Poleni sana wafiwa. Nimesikitika kwa hili tukio la kifedhuli.

Uchunguzi wa kina sana ufanyike kwa huyo mzungu aliepiga nae picha. Kuanzia uhusiano wao, uraia wa mzungu, vibali kuishi nchini, anajishughulisha na nini, raia wa wapi, familia ya mzungu na anaohusiana nao, n.k.?

Japo sina hakika itasaidia nini lakini uchunguzi wa kina ufanyike kwenye familia yake pia. Ana ndugu wa kuzaliwa wangapi na vipi uhisano wao? Vipi mahusiano yake na wazazi? Wazazi wametengana au wapo pamoja? Kama wako pamoja wana maelewano?

Kama wazazi wake wametengana ilikua kwa heri au kwa shari? Kama ni kwa shari je binti alichochea/ni kisababishi? Je wazazi wake wana magomvi ya kudumu na jamii/familia zingine yanayoweza kusababisha kulipizana visasi?

Maisha yake hapa chuo alikua binti mstaarabu sana asie na makuu wala kupenda starehe kama wengine wanavyosheheneza humu.
 
Sipendi unafiki wanawake mnasababisha wenyewe tamaa ya kubakwa unatembea uchi ukionekana mtaani wahuni wanadhani wewe ni kahaba jaribu kujistahi.
Poleni wafiwa

Haka katoto ka miaka 8 na kanyewe kalikuwa kanatembea uchi barabarani?

Binti1.png

Na hiki kitoto cha miaka 6 nacho kilikuwa kinawatega wanaume?!!

Binti2.png

Na huyu wa miaka 5 nae ana akili yoyote ya kuvaa ngupi hadi mwanaume mzima na akili yako unatembea huku mipum'bu inaning'inia na bado unapata ujasiri wa kubaka hadi unaua katoto kama haka?! Alikuwa na uwezo wa kuhamasisha nyege za mtu yeyote huyu?
Binti5.png

What about hiki kitoto cha miaka 3?!

Binti3.png

Na hiki kibibi kizee nacho kilikuwa kinatembea nusu uchi?
Binti4.png

Acheni kuhalalisha mambo ya kishenzi kwa kutoa hoja zisizo na kichwa wala miguu! Hivi mtu na akili zako unaweza kubaka eti tu kisa mtu amevaa nguo fupi? Kwanini wasibake dada na mama zao nyumbani kama wana nyege kali kiasi hicho?! Haya tuseme ni hiyo minyege ndiyo inawafanya wabake... na suala la kukatisha uhai wa mtu nalo linahusiana nini na wasichana kuvaa nguo fupi?!

Shame on y'all!
 
RIP Juliana. Poleni sana wafiwa. Nimesikitika kwa hili tukio la kifedhuli.

Uchunguzi wa kina sana ufanyike kwa huyo mzungu aliepiga nae picha. Kuanzia uhusiano wao, uraia wa mzungu, vibali kuishi nchini, anajishughulisha na nini, raia wa wapi, familia ya mzungu na anaohusiana nao, n.k.?
Huyu dada alikuwa anaishi na mmoja wa wakufunzi wa hapo Makurumula... huyo Mkufunzi ni Mzungu na yupo department ya muziki. Hata hivyo sina uhakika uhusiano wao... kama ni kuishi as family or something else kwa sababu hata ukiangalia picha zake unakuta kadhaa wanaonekana a white family.
 
Nikikuta mwanaume analiwa na fisi nampaka mafuta atafunwe vizuriii.
Hata wewe
Unasahau kwamba baba yako ni mwanaume na utaolewa na mwanaume na una wadogo zako wa kiume pia...

Acha kufanya harst generalization we mtoto...[emoji128] [emoji128] [emoji128]
 
Unasahau kwamba baba yako ni mwanaume na utaolewa na mwanaume na una wadogo zako wa kiume pia...

Acha kufanya harst generalization we mtoto...[emoji128] [emoji128] [emoji128]
Hata hapo wachukiwe na wengine.
Bora ndugu wanaweza nionea huruma. Ila wengine...nawaogopa kama ukoma
 
Ukisoma hii Thread utagundua kama mama zetu wangepewa uwezo wa kujua toto atakalolizaa litakuaje wengi tusingekua nao humu wange abort!
 
Mtoto wa miaka7 akibakwa nae ni malaya vibibi vya miaka 90 navyo hia ni malaya..short minded!
Huo ndo ukweli, kwa akili yako fupi unadhani huyo binti walimvamia Chuo wakambaka!!! Kama na wewe ni wa kike nawe acha Umalaya! Mwisho wa siku utabakwa tu!
 
Mbona huyo msichana anaonyesha kabisa mkuu? mimi nashangaa mijitu imekomaa huko inamtetea eti vile vivideo kule insta ni vya kawaida eti havina shida
Watu ni Wanafiki Mkuu! Wanatetea ujinga, mm nimesikitika tu alivyokufa, ila kubakwa ilikua ni haki yake!
 
Watu ni Wanafiki Mkuu! Wanatetea ujinga, mm nimesikitika tu alivyokufa, ila kubakwa ilikua ni haki yake!
Mkuu hiko kisa kinuma sana ila ni kitu gani kilifanya hadi akauwawa? mtu hawezi kufanyiwa jambo kama hilo hivi hivi jaman hapo lazima kuna kitu. Ningependa ushahidi wa kifo chake halaf tujadili
 
Back
Top Bottom