Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina maana hiyo mkuu unajua wewe utajizuia sawa na unaweza ukawa hauko hivyo,,,je watu wote watajizuia kama wewe.....Mkuu kwa hiyo ukikutana na msichana kavaa nguo fupi unambaka? Aisee akili hizi sijui tunaenda wapi........
Nimekupa mfano wa Annet ku-crash madai yako kwamba huenda marehemu alikuwa mpenda starehe na mwendaji wa sehemu hatarishi kwani Annet aliuawa nyumbani kwake! Pole sana ikiwa mfano rahisi kama huu unakushinda kiasi cha kuona na-support hoja yako! Huo mfano ulitosha kukuonesha, ili watu wafanye uhalifu; si lazima uwe mtu wa kwenye mabaa au starehe!Hakuna mtu anajaribu ku-justfy uhalifu, uhalifu utaendelea kubaki uhalifu tu, nimekwambia uhalifu uko wa aina nyingi na sababu zake ni nyingi pia, sasa kuleta kwako suala la Annet Msuya ndio umeona kigezo cha kuonesha kwamba wauwaji hawana zaidi ya ubakaji na uuwaji, pia huoni kwamba ume-support hoja yangu kwamba kunakuwa na zaidi ya hayo nyuma ya tukio? Annet Msuya issue inahusu visasi na mali, hivyo lengo halikuwa ubakaji wala tamaa ya ngono.
Sina maana hiyo mkuu unajua wewe utajizuia sawa na unaweza ukawa hauko hivyo,,,je watu wote watajizuia kama wewe.....
Sawa mkuu nmekupata sana umenena vyema [emoji106]Watu wengine wataendelea na matendo ya kinyama kama haya ya kubaka na kuua kwa sababu tu wamezungukwa na akina Gne gne wanaotaka ku-justfy kuwa msichana au mwanamke akiwa nusu uchi (kitu ambacho sijakiona marehem) basi ni tiketi ya kubakwa hadi kuuawa.
Kwa nini tusijenge jamii ya kutambuana na kuheshimiana kwa namna Mtu alivyo? Leo hii tunaona watoto wadogo kabisa wakibakwa na kufanyiwa ukatili wa kutisha, vikongwe hali kadhalika sababu kuu ni kukaa kimya kwa baadhi yetu, lakini pia ni hali ya kushabikia mambo kama haya.
Itanichukua muda sana kuelewa MTU anayetaka kuhalalisha ukatili huu.
Wanaume wa Arusha
Hivi Juzi wanafunzi takribani 10 walikua wakiwatomba Mbwa
Tena Jana wamembaka mwanafunzi.
Jifunzeni kutongoza Wanaume wa Arusha.
mkuu unaongea na watu hapa ambayo hata haijawahi kusafiri zaidi ya kutembelea dar,huyo dada hakuna nguo wala sehemu yoyote kavaa nusu uchi,hizo nguo za kawaida saaana,achana nao save your energy kwa mijadala mingineWatu wengine wataendelea na matendo ya kinyama kama haya ya kubaka na kuua kwa sababu tu wamezungukwa na akina Gne gne wanaotaka ku-justfy kuwa msichana au mwanamke akiwa nusu uchi (kitu ambacho sijakiona marehem) basi ni tiketi ya kubakwa hadi kuuawa.
Kwa nini tusijenge jamii ya kutambuana na kuheshimiana kwa namna Mtu alivyo? Leo hii tunaona watoto wadogo kabisa wakibakwa na kufanyiwa ukatili wa kutisha, vikongwe hali kadhalika sababu kuu ni kukaa kimya kwa baadhi yetu, lakini pia ni hali ya kushabikia mambo kama haya.
Itanichukua muda sana kuelewa MTU anayetaka kuhalalisha ukatili huu.
Mbwa hatombwi. Anapandwa!Wanaume wa Arusha
Hivi Juzi wanafunzi takribani 10 walikua wakiwatomba Mbwa
Tena Jana wamembaka mwanafunzi.
Jifunzeni kutongoza Wanaume wa Arusha.
Mkuu watanzania ni wanafiki sana, ni watu wa kuonyesha huruma huruma za kijinga hata bila kutafakari.Sipendi unafiki wanawake mnasababisha wenyewe tamaa ya kubakwa unatembea uchi ukionekana mtaani wahuni wanadhani wewe ni kahaba jaribu kujistahi.
Poleni wafiwa
Sipendi unafiki wanawake mnasababisha wenyewe tamaa ya kubakwa unatembea uchi ukionekana mtaani wahuni wanadhani wewe ni kahaba jaribu kujistahi.
Poleni wafiwa
Huyu dada alikuwa anaishi na mmoja wa wakufunzi wa hapo Makurumula... huyo Mkufunzi ni Mzungu na yupo department ya muziki. Hata hivyo sina uhakika uhusiano wao... kama ni kuishi as family or something else kwa sababu hata ukiangalia picha zake unakuta kadhaa wanaonekana a white family.RIP Juliana. Poleni sana wafiwa. Nimesikitika kwa hili tukio la kifedhuli.
Uchunguzi wa kina sana ufanyike kwa huyo mzungu aliepiga nae picha. Kuanzia uhusiano wao, uraia wa mzungu, vibali kuishi nchini, anajishughulisha na nini, raia wa wapi, familia ya mzungu na anaohusiana nao, n.k.?
Unasahau kwamba baba yako ni mwanaume na utaolewa na mwanaume na una wadogo zako wa kiume pia...Nikikuta mwanaume analiwa na fisi nampaka mafuta atafunwe vizuriii.
Hata wewe
Hata hapo wachukiwe na wengine.Unasahau kwamba baba yako ni mwanaume na utaolewa na mwanaume na una wadogo zako wa kiume pia...
Acha kufanya harst generalization we mtoto...[emoji128] [emoji128] [emoji128]
Huo ndo ukweli, kwa akili yako fupi unadhani huyo binti walimvamia Chuo wakambaka!!! Kama na wewe ni wa kike nawe acha Umalaya! Mwisho wa siku utabakwa tu!Mtoto wa miaka7 akibakwa nae ni malaya vibibi vya miaka 90 navyo hia ni malaya..short minded!
Watu ni Wanafiki Mkuu! Wanatetea ujinga, mm nimesikitika tu alivyokufa, ila kubakwa ilikua ni haki yake!Mbona huyo msichana anaonyesha kabisa mkuu? mimi nashangaa mijitu imekomaa huko inamtetea eti vile vivideo kule insta ni vya kawaida eti havina shida
Mkuu hiko kisa kinuma sana ila ni kitu gani kilifanya hadi akauwawa? mtu hawezi kufanyiwa jambo kama hilo hivi hivi jaman hapo lazima kuna kitu. Ningependa ushahidi wa kifo chake halaf tujadiliWatu ni Wanafiki Mkuu! Wanatetea ujinga, mm nimesikitika tu alivyokufa, ila kubakwa ilikua ni haki yake!